Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Coastal Union, Soka Kabambe Uwanja wa Taifa

Hali katika uwanja wa Taifa si rafiki kutokana na baadhi ya sehemu ya kuchezea kuna na maji

Lakini mpira unaendelea
 
07' Fragaaaaaaa Goooooooooooooooooooaaal

Simba SC wanaandika bao la kwanza kupitia kwa Gerson Fraga kufuatia mpira wa faulo uliopigwa na Chama

Simba SC 1-0 Coastal Union
 
10' Chama anapiga shutiiii, inambabatiza beki wa Coastal na kuwa kona

Inapigwaaaaaa Kona, lakini inaokolewa

Simba SC 1-0 Coastal Union
 
Mpira unachezwa eneo Coastal, huku Coastal wakishindwa kabisa kupenya ngome ya Simba

20' za mchezo huu wa VPL

Simba SC 1-0 Coastal Union
 
24' Ni faulo kuelekea Coastal, anakwenda kupiga tena Chama

Inapigwaaaaaa, mpira unatoka sentimita chache ya lango, ilikuwa hatari
 
Piga nikupige lango Simba, lakini mchezaji wa Coastal anapiga mpira njeeee ya lango
 
33' Bakar Mwamnyeto anafanya kazi ya ziada kuhakikisha anaokoa hatari zote..

Wanakwenda Simba sasa kwake Ajibuuuuu laaaaaaaaaa, anakosa
 
37' Ameingia Kennedy Juma, akichukua nafasi ya Nyoni ambaye ameumia..Simba SC
 
Back
Top Bottom