Vodacom ondosheni kifurushi hiki cha GB 1

Vodacom ondosheni kifurushi hiki cha GB 1

firebridge

Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
20
Reaction score
5
Tangu kampuni ya VODACOM kuanzisha utaratibu wa kulipia shilingi 900 ili kupata kifurushi ambcho kinakuwezesha kupata GB 1 kwa upande wangu naona kampuni hiyo inafanya wizi wa wazi wazi kwani hakuna hata sikumooja uatumia hata MB 500 maana mtandao huo sijui umefungwa maana una search taratibu mno.

na hata ku down lord mtandao unajikongoja kiasi kwamba kuna namna wanavyofanya ili hiyo GB isitumike yote. Mbona hapo awali tulipokuwa tukinunua MB 250 mtandao ulikuwa unafunguka na ku down lor kwa speed.

Lakini naona si kosa lenu ila ni kosa la Wizara inayosimamia mawasiliano kwani inawaachia mfanye mpendavyo kwa sisi wanyonge.

Inawezekaqna mnawafumba macho kwa vile mnatoa udhamini kwa shughuli mbali mbali.

But thre is a day.
 
Tangu kampuni ya VODACOM kuanzisha utaratibu wa kulipia shilingi 900 ili kupata kifurushi ambcho kinakuwezesha kupata GB 1 kwa upande wangu naona kampuni hiyo inafanya wizi wa wazi wazi kwani hakuna hata sikumooja uatumia hata MB 500 maana mtandao huo sijui umefungwa maana una search taratibu mno. na hata ku down lord mtandao unajikongoja kiasi kwamba kuna namna wanavyofanya ili hiyo GB isitumike yote. Mbona hapo awali tulipokuwa tukinunua MB 250 mtandao ulikuwa unafunguka na ku down lor kwa speed. Lakini naona si kosa lenu ila ni kosa la Wizara inayosimamia mawasiliano kwani inawaachia mfanye mpendavyo kwa sisi wanyonge. Inawezekaqna mnawafumba macho kwa vile mnatoa udhamini kwa shughuli mbali mbali. But thre is a day

Acha kulalamika wewe nenda jukwaa la sience wakuelekeze jinsi ya kuwaibia na wewe.
 
Mbona mm nafurahia spid
teh teh teh
ila ambao wana Run Edge (2G) polen,
but wale wenzangu na mm wa HSDPA, UMTS (3G) naomba 2jpongeze
 
tatizo si voda bali ni simu yako ni cheap sana. nitakutumia simu nzuri ya gharama uenjoy
 
Mkuu nilizani ni peke angu kumbe wote hata wew hii ni shifa sn
 
we mbona iko poa kwa cmu may be pc cjajua
 
Mbona mm nafurahia spid
teh teh teh
ila ambao wana Run Edge (2G) polen,
but wale wenzangu na mm wa HSDPA, UMTS (3G) naomba 2jpongeze
Mimi waliniuzi kwa kwa kuniweka Edge (2G)...nilichakurachakura kwenye setting za modem yao mpaka nikaji"register" T01 (3G) ambayo inakupa features za roaming...Ukiwa huku unaweza kudownload kwa speed ya zaidi ya 2.5Mb/s
 
tumeyasikia maombi yako, na tumeshatekeleza.
 
Mi mwenyewe inanikera naombeni maelekezo nifanyeje ili modem yangu iwe 3G
 
unadhaani hiyo 900 umejiunga peke yako? tupo milioni tatu na wote tunapita pipe hiyo hiyo, labda ukitaka speed kubwa tumia fiber optic unganisha na simu yako
 
Nimejaribu kununua leo nikakuta imefutwa sijui haipo yani full majanga. Yani Voda ni kama DJ wa walevi, wanabadilibadili wanavyojisikia. Ngojea nchukua kitu Tigo, 890 /- tu napata hiyohiyo 1GB.
 
Bongo kwetu hapa asilimia kubwa ya mambo ni usaniiusanii na utapeli tu,ipo kazi kubwa kusonga mbele!
 
Back
Top Bottom