Vodacom nuksi sana

Vodacom nuksi sana

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
93,912
Reaction score
132,230
Habari zenu wana jf,

Ningependa ku-share maumivu ambayo huwa nakutana nayo mara kwa mara pindi niwekapo vocha katika mtandao wa simu wa vodacom.

Leo nmeweka sh 1000 nkajiunga naona ikarudi msg ya kusema salio lake halitoshi eh nkaweka tena 1000 hivyo hivyo maana nilikuwa najiunga kifurushi cha siku.

Cha kushangaza sijapata msg ya mimi kuunganishwa,nikanunua tena 1000 nkajiunga ya siku ikakata nkajiunga tena ya siku ndiyo nkapata mb 150.

Nauliza hivi hela zangu za mwanzo zimekwenda wapi alafu kuna muda mtandao ulisumbua sana au ndiyo walikuwa wanatuibia?

Vodacom acheni wizi, kweli nmeamini lile tangazo lenu la kazi ni kwako limekuwa shida.
 
piga Vodacom huduma kwa wateje 100 uongee nao watakusaidia watakuambia jinsi waliyokata pesa zako zote kama walikata kimakosa watakurudishia.
 
hawapokwi sim mkuu..kama kukata syo hivyo mkuu hiyo imezidi inaniumaaa sanaaa
 
Kwa kweli hata mimi nimeibiwa mno kwa njia hiyo kila ukiweka 1000 wanasema salio halitoshi au huwezi kujiunga salio halitoshi.Voda acheni wiziiiii!
 
mkuu mimi washaniibiaaa vya kutoshaa yaani nna gazabu nao sana yaani wamenifanya mm boya alafu mimi mteja wa voda kitambo lakini kwa ushenzi huu wanaotufanyiaaa its to much
 
Mimi huwa nanunua salio la 1000 kwenye Mpesa ukijiunga na kifurushi cha 1000 au kile cha 800 unaambiwa salio halitoshi. Ukijaribu cha 600 ndio unaunganishwa hivi nyie vodacomesha mnachaji sh ngapi kwa mtu kujiunga
 
Piga huduma kwa wateja 100au 15000 na 15366. ukilalamika huku tu utaendelea kuliwa.
 
tuwalaani tu hawa voda mpaka wajirekebishi
 
acheni ushamba bhana smart phone yenyewe tu inakula salio hakikisha kama huna salio basi data iwe off lasivu mtahisi mnaibiwa

kuasi kinachokatwa kwenye smart phone hiyo inaeleweka wewe .....yaani unataka kuniambiaa muda huu niweke 5000 alafu katika kipindi cha dakika 30 sioni...
 
piga Vodacom huduma kwa wateje 100 uongee nao watakusaidia watakuambia jinsi waliyokata pesa zako zote kama walikata kimakosa watakurudishia.

Mara ya mwisho umepiga hiyo namba lini? mimi mara ya mwisho ni jana nikaletewa mambo ya emergency call...
 
Naunga hoja bila hofu yoyote ile hawa voda ni wezi balaa tena usidhubutu kuweka salio la buku alafu ukajiunga kifurushi cha 495 lile salio lilobaki wanalila bila huruma halafu ukiwapigia na kuwafokea wanakujibu "saa hizi unajazba kata simu upige baadae" hii inauma sana
 
ni wezi kiama......voda
 
juzi nimeweka 5000 nika jaribu kujiunga kifurushi cha wiki. nikasubiria kama dakika moja hivi message ya kujulishwa kama nimeunganishwa. baada ya kuona kimya nikasema nicheki salio, daaa, empty...leo nimeenda vodashop wananiambia eti whatsapp imekula ela yote hiyo...nimewaachia line yao hapo hapo...AIRTEL sasa hivi mpango mzima.
 
Habari zenu wana jf,

Ningependa ku-share maumivu ambayo huwa nakutana nayo mara kwa mara pindi niwekapo vocha katika mtandao wa simu wa vodacom.

Leo nmeweka sh 1000 nkajiunga naona ikarudi msg ya kusema salio lake halitoshi eh nkaweka tena 1000 hivyo hivyo maana nilikuwa najiunga kifurushi cha siku.

Cha kushangaza sijapata msg ya mimi kuunganishwa,nikanunua tena 1000 nkajiunga ya siku ikakata nkajiunga tena ya siku ndiyo nkapata mb 150.

Nauliza hivi hela zangu za mwanzo zimekwenda wapi alafu kuna muda mtandao ulisumbua sana au ndiyo walikuwa wanatuibia?

Vodacom acheni wizi, kweli nmeamini lile tangazo lenu la kazi ni kwako limekuwa shida.

Siku hizi ishakuwa mtindo wao....mpaka ujiunge mara elfu tatu.....baada ya hapo sms zitakukera
 
juzi nimeweka 5000 nika jaribu kujiunga kifurushi cha wiki. nikasubiria kama dakika moja hivi message ya kujulishwa kama nimeunganishwa. baada ya kuona kimya nikasema nicheki salio, daaa, empty...leo nimeenda vodashop wananiambia eti whatsapp imekula ela yote hiyo...nimewaachia line yao hapo hapo...AIRTEL sasa hivi mpango mzima.

dah pole mm ndyo maumivu hayo sana tu yaani nmwkuwa shamba la bibi kwa voda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom