Mkuu kwa kweli ni mistake ndogo na wameniambia hela ipo hewani ila watairuhusu irudi ndani ya siku 7.... I never expected thatKaka hao voda hata hizo 7 wamekudanganya! Ukizipata labda baada ya mwez hapo mpk mahakaman! me mpk sasa nishapotezea laki na nusu! Nimezunguka kila ofs yao nimegiveup
Kaka bora wewe umekosea! Mimi sikukosea nilituma sehem sahihi ila pesa haikufika na kwangu haokurudiMkuu kwa kweli ni mistake ndogo na wameniambia hela ipo hewani ila watairuhusu irudi ndani ya siku 7.... I never expected that
Kaka hao voda hata hizo 7 wamekudanganya! Ukizipata labda baada ya mwez hapo mpk mahakaman! me mpk sasa nishapotezea laki na nusu! Nimezunguka kila ofs yao nimegiveup
Hapa ninajiandaa kupumzika nikiwa na imani kubwa kuwa itakuwa umerudi asubuhi. Aliniambia utaratibu umebadilika na yeye yupo makao makuu na pia aliniambia hata nikienda vodashop sitasaidika.. Kwa sababu yeye yupo hqMkuu kawaida inakuwa masaa 72, kuna siku wakala alikosea kutuma wakanirudishia ndani ya saa 1. Hiyo ya kwako sijajua ni kwanini wamekuambia siku 7.