Vodacom nitawachukia milele

Tigo sasa wamekuwa na speed internet...

Voda byebyee...
 
Tigo sasa wamekuwa na speed internet...

Voda byebyee...
Acha nirudi zangu tigo aisee. Hawa Vodacom nimeshindwana nao rasmi. Tatizo wanaliona lakini linachukua zaidi ya masaa yote hayo. Hela yenyewe nina shida nayo vibaya mno
 

Tumia formula ya KILL ME BEFORE I KILL YOU wacha kulalamika wewe kila siku unawalipa kabla hujatumia Ila wewe ukitaka kutumia kabla hujalipa wanakutoza zaidi.

Fanya changamoto kuwa fursa Kama maandishi ulioandika n fursa huwezi kosa hata ka 20m kutoka kwao Kama ukiamua Sheria ifate mkondo wake Mana wewe mtumiaji ukimkosea ndo imekula kwako Ila wao wakikosea unataka kuwaomba samahani.

#NoRoomForExcuse
 
Hili nalo neno aisee. Maana hii ni kero sana. Wanafanya kazi kwa mazoea na kuchukulia kama kawaida tu linapotokea tatizo bila kujali athari upande wa mteja
 
Wanasema ni mtandao wa matajiri.....voda nawatumia zaidi kwenye M-PESA, kwenye internet halotel ni baba la mji, TTCL kwenye kupiga...
 
Kama kweli umeshawalipa nenda.kwenye maduka au ofisi zao ukiwashe
Utoe upuuzi hapa
Hawa watu sio wa kuwachekea tena
 
Uwe na line hata mbili za mitandao mingine ,inasaidia
 
halotel mwendo wa konokono hamna kitu mule
Duh! sijui itakuwa tatizo la location ulipo au device unayotumia......mimi nikinunua kile cha 5000 GB 7 kwa wiki, yaani natiririka wiki nzima kwa kasi ya 4G na hadi wiki inaisha najikuta nimemaliza kama GB 4 tu....halotel ni baba la mji kwenye internet aisee..
 
Mi nlishaachana na vodacom nna miaka sita sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…