Aisee wamenikwamisha hawa jamaa. Hela inahitajika haraka sana na nilikoomba siwezi kuomba tena. Hata nikiomba sijui nitaipataje maana wanakata hela wakati deni lao limelipwa lote jana. Nimebaki dilema najisonya tu hapa.Pole sana. Kwenye haya maisha ni muhimu uwe na option B. Option A ikikwama unatumia B, mathalan tigo nivushe.
Kampuni za simu au kazi ni sawa sawa na mke. Sio kila mke ukimwacha atamiss uwepo wako.
Daah pole sana mkuu ndiyo mitihani hii.Niliwapigia waliniambia wanawasilisha changamoto yangu sehemu husika hivyo nisubiri masaa 96. Hebu fikiria siku 4 zote nasubiri hela ambayo inahitajika saizi
Mkuu ulikaa na deni lao kwa mda gani??Huduma yenu ya #songesha imenifanya niwachukie sana. Haiwezekani niwalipe deni lenu lote alafu mshindwe kunipa mkopo mwingine. Hilo nimelikubali na nikaamua kuachana na huo mkopo. Leo nimetumiwa hela kwaajili ya mahitaji muhimu, mmekata tena hela yote wakati sina deni na nyie.
Sijakaa na deni lao muda mrefu. Mimi ni mkopaji na ninalipa kwa wakati maana natumia sana M-PESA. Kwahiyo nikitumiwa lazima ikatwe. Deni limekaa kama siku 4 tu hivi.Mkuu ulikaa na deni lao kwa mda gani?
Labda wanalipizia 😎 😎
Nimewaza tu kwa sauti, usijekuniwashia moto
Pole mkuu.Sijakaa na deni lao muda mrefu. Mimi ni mkopaji na ninalipa kwa wakati maana natumia sana M-PESA. Kwahiyo nikitumiwa lazima ikatwe. Deni limekaa kama siku 4 tu hivi.
Jana walipokata alafu hawakunipa mkopo mwingine, nikajiongeza nikajua labda wanafanya marekebisho kwasababu mwaka wa fedha wa serikali ulianza tar 1 july. Ikabidi nifanye mchakato nipate hela nyingine. Leo asubuhi nimetumia hela, wamekata kulipia deni ambalo jana lilipiwa
Mm nilishawasahau.nimebaki kupokelea cm tu. Wamebaki kunitumia viujumbe wanikopeshe salio na mm sina mda naoTulishatupa chip za huu mtandao mkuu.Kwanza vifurushi vyao ghalii