Vodacom nimewachoka

Juzi walisema wanaboresha huduma ya dar supa uni jana kucheki hiyo ya buku tano nikawahama fasta najiunga Tigo buku mbili gb2 siku tatu no dk nao nawachek tu najua watanikimbiza
 
HAMIA AIRTEL UPUMZIKE
 
Juzi walisema wanaboresha huduma ya dar supa uni jana kucheki hiyo ya buku tano nikawahama fasta najiunga Tigo buku mbili gb2 siku tatu no dk nao nawachek tu najua watanikimbiza
Hakika boro kuachana nao
 
Jana bundle ya 2500 ilikuwa yasoma mb 500. Naona wameongeza mbs 300

Nimeamua kurudi *148*30*33#
 
Jeuri ya vodacom ni huduma ya M-PESA wana wateja wengi na ni ya uhakika. Siku mitandao mingine ikijiimarisha katika huduma zao, tunaweza kushuhudia anguko lao.. sio MB tu, hata dakika ni chache ukilinganisha na wenzao.
 
Voda wezi sana aisee nishawahama kitamboo... saa hivi niko na Airtel line ya chuo na wao wakizingua ntahamia halotel...
 
*149*60*325#
Zawadi kutoka vodacom kusherehekea goli la match ya jana..
 
Mimi Nina elfu mbili kwenye salio na bando la data nilikua nimejiunga na bado lipo lakini naona kila Siku wanakata mia,Jana ikabaki 1,900 Leo asubuhi imebaki 1,800 hawa jamaa ni wezi kweli aisee
Mimi nilikuwa nikiweka 1000 nikitaka kuunga bando la 1000 nakuta wamekata kama sh 3 inabaki 997 kwahiyo unakuwa huwezi kujiunga mpaka uongeze salio na wamenifanyia zaidi hata ya mara 10, nikiwapigia wanasema watalisolve tatizo lakini wapi mpaka nimeamua kuachana nao aisee...

Na kibaya zaidi hadi wameamua kuoinguza bundle la chuo kutoka mb 500 mpaka 250
 
Hapa wamenikiza sana aisee mpaka nimewakimbia maana kila siku walikuwa wanakata salio kidogo kidogo na unakuwa huwezi kujiunga
 
Huu ni wizi wa wazi mkuu,wanajua huwezi kijiunga mpaka itimie,nadhani ni ka mradi Fulani cha kujiongezea mapato
 
Juzi walisema wanaboresha huduma ya dar supa uni jana kucheki hiyo ya buku tano nikawahama fasta najiunga Tigo buku mbili gb2 siku tatu no dk nao nawachek tu najua watanikimbiza
hebu kawaangalie tena hao tigo wanaojifanya na size yako,, wametoa kifurushi kutoka Tsh 2500 kwa wiki mpaka Tsh 5000 kwa wiki,
 
Huu ni wizi wa wazi mkuu,wanajua huwezi kijiunga mpaka itimie,nadhani ni ka mradi Fulani cha kujiongezea mapato
Kuna siku nimepiga huduma kwa wateja akapokea mdada fulan namwambia tatizo langu akawa kama anacheka then ananiambia wakati naingiza bundle niliwasha internet.....
Nilimpa bonge la Tusi nikakata na simu
 
Ha ha wanajua mchezo hao
 
Mimi Nina elfu mbili kwenye salio na bando la data nilikua nimejiunga na bado lipo lakini naona kila Siku wanakata mia,Jana ikabaki 1,900 Leo asubuhi imebaki 1,800 hawa jamaa ni wezi kweli aisee
Kivipi uweke pesa kwenye salio ndugu, ni risk unaweza kujikuta umebaki ziro, ni bora uweke m pesa kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…