Habari, nashukuru kwa huduma zenu pamoja na promotion ambazo mnazitoa kwa sisi wateja wenu. Ila kuna jambo la kusikisha sana ambalo imekuwa kama n mchezo... Ucku wa leo trh 12/02/15 mjr ya kama saa 22:02hrs nilinunua muda wa maongezi wa tsh 1000 kupitia mpesa na kupata muamala huo, na salio lng la muda wa maongezi kuwa tsh 1804. Lengo n kutaka kujiunga kifushi cha uhuru internet bundle ambacho hujiunga kla siku na ndani ya siku hii kifurushi changu kilikuwa kinaisha saa 22:04hrs. Cha ajabu baada ya muda wa kifurushi changu kuisha saa 22:04hrs nikiwa na salio la muda wa maongezi wa tsh 1804 nilifanya muamala wa kujiunga uhuru internet bundle kwa kfurush cha masaa 24hrs na kupata ujumbe sina salio la kutosha la kuweza kujiunga ujumbe huo niliupata saa 22:05hrs. SWALI: Huu muda wa maongezi wa tsh 1804 ulienda wapi ndani ya dk 1?