Vodacom ni wezi

Vodacom ni wezi

J627204

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
268
Reaction score
99
Mimi nimekuwa napata matatizo yakukatwa salio na matumizi yasiyoya kweli ya MB nimelalamika bila msaada naomba kuambatanisha hizo msg zao unajiunga mb200 hujazitumia unaambiwa zimeisha ukienda ofisi zao wanasema simu yako haina matatizo sasa sijui hii kampuni ni bora ifungiwe tu.

Voda1.png Voda2.png

voda3.png
 
Viacom mbona sijawahi usikia upo hapa nchini?
 
Angalia kama hotspot wifi iko on,
Labda iko On bila ww kujua
Alafu unawafaidisha raia wengine.
 
Hats mm wamenikata sana mpaka nimehamia airtel yatosha mpaka intenert yao iko faster
 
Mbona wezi tokea kitambo!!!!baba lao latosha
 
Siku hizi voda napigiwa tu airtel ipo safi sana midakika kibaao MB nyingi zaidi...BABA LAO
 
Nashauri tu. Jaribu kuangalia auto apdates settings kwy simu yako. Inawezekana una apps nyingi umezidownload na zinajiupdate automatic ukiconnect data. Hilo ni tatizo kubwa kwa wengi...unaweza kuta apps zingine ulidownload lakin huzihitaji na haujazi uninstall...kwahiyo kila ukijiunga zinavyovya kimyakimya bila wewe kujua.
 
SIMU NAZIMA ILA INASalio nikifungua asubuhi salio pimeliwa lote hii imekaaje kwa voda.HII NI KAMPUNI YA WEZI.
 
Huu ni zaidi ya ujinga sasa, wizi wa vodacom umeshajadiliwa sana tu humu ndani na yametolewa majibu na maelezo mbalimbali.

mitandao ipo mingi kwanini uendelee kutumia kitu ambacho kinakukera?
 
Kama hautaki kuibiwa, tochi ndo mpango mzima!!
Smartphones nyingi zinawazingua watu jinsi ya kuseti. Unakuta kuna auto updates, nk! Kama ni smart phone, cha msingi, data services iweke off!
 
halafu kuna waziri (naibu) anayeiongoza hii wizara, pamoja na madudu haya na mengine mengi, kama dstv ni ghali Tanzania kupita nchi nyingine nk nk, anataka awe Rais wetu! Kwa kipi hasa, ikiwa sekta ndogo tu inamshinda?
 
thief thief, vodacom, unapiga simu inakwambi simu yako imekuwa hold wakati huo pesa inakwenda, wezi wakubwa hawa bullshirt
 
Mimi nimekuwa napata matatizo yakukatwa salio na matumizi yasiyoya kweli ya MB nimelalamika bila msaada naomba kuambatanisha hizo msg zao unajiunga mb200 hujazitumia unaambiwa zimeisha ukienda ofisi zao wanasema simu yako haina matatizo sasa sijui hii kampuni ni bora ifungiwe tu.

View attachment 225428 View attachment 225429

View attachment 225430

Habari ndugu mteja, kwa aina ya simu unayotumia kiasi hicho cha MB ni kidogo hivyo kupelekea kifurushi kuisha haraka. Hii ni kwasababu simu yako inasync wakati wote. Tunakushauri disable auto refresh katika Apps au zima Mobile Data wakati ambapo huitaji kutumia Intaneti. Usisite kuwasiliana nasi kwa msaada zaidi, ahsante
 
thief thief, vodacom, unapiga simu inakwambi simu yako imekuwa hold wakati huo pesa inakwenda, wezi wakubwa hawa bullshirt
Habari ingipower unapompigia mteja mwingine simu ukapata ujumbe baada ya simu hiyo kupokelewa kwamba ipo on hold maana yake uliyempigia ndie amekuweka on hold hivyo salio litatumika.
 
SIMU NAZIMA ILA INASalio nikifungua asubuhi salio pimeliwa lote hii imekaaje kwa voda.HII NI KAMPUNI YA WEZI.
Mkuu Undu tuwasiliane kuhusiana na hili, tunaomba namba ya simu DM kwa msaada zaidi. Karibu
 
Last edited by a moderator:
Voda ni mezi kinoma juzi tu kilaini chao nimetupa kule nikahamia kwa baba yao airtel sasa ni mwendo mdundo tu. Ushaur ndg zangu wa voda kimbien mapema la sivyo yatawafilisi haya mjambaz. Q
 
Habari ndugu mteja, kwa aina ya simu unayotumia kiasi hicho cha MB ni kidogo hivyo kupelekea kifurushi kuisha haraka. Hii ni kwasababu simu yako inasync wakati wote. Tunakushauri disable auto refresh katika Apps au zima Mobile Data wakati ambapo huitaji kutumia Intaneti. Usisite kuwasiliana nasi kwa msaada zaidi, ahsante

Nyoko nyie ni wezi na majibu yenu huwa ndo haya kila cku mara ooohooo mitambo ilikuwa na matatizo mara nn. Nyie mitam o inaharibika kulamba salio la watu tu mbona haiaribiki tukakuta salio limeongezeka au tukapiga sim bureee. Pumbavu zenu majizi nyie.
 
Back
Top Bottom