Vodacom ni wezi wa bundle za wateja?

Vodacom ni wezi wa bundle za wateja?

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
25,832
Reaction score
25,138
Hizi kampuni za simu baada ya kubanwa na Dr Makufuli walipe kodi, hasira zao wamezihamishia kwa wateja wasiokuwa na hatia. Tazama jinsi hizi kampuni zinavyowaibia wateja waziwazi:

Nimetumiwa meseji hii kutoka Vodacom nikiwa online lakini nikiwa si-upload chochote kile kwenye laptop yangu:

*******************
MB za kifurushi cha Intaneti cha TSH 1000 zimekaribia kuisha. Salio ni MB 37.3. Kuongeza kifurushi bofya: http://vda.cm/JazaIntaneti au piga *149*01#
Time: 7/27/2016 9:54:57 PM
*******************************************************************************
Nikiwa bado naendelea kusoma meseji hiyo na nikiwa sija-upload kitu chochote, nikatumiwa meseji nyingine hii:

*******************
Name:
Number: VodaTaarifa
Content:
MB za kifurushi cha Intaneti cha TSH 1000 zimekaribia kuisha. Salio ni MB 18.2. Kuongeza kifurushi bofya: http://vda.cm/JazaIntaneti au piga *149*01#
Time: 7/27/2016 9:56:33 PM
*****************************************************************************
Mwisho nimetumiwa hii hapa ndani ya muda huo mfupi:
*************************
Name:
Number: VodaTaarifa
Content:
Umefika mwisho wa matumizi. Endelea kutumia intaneti kwa Tsh.0.2 kwa KB. Kununua tena, bonyeza http://vda.cm/JazaIntaneti
Time: 7/27/2016 9:59:03 PM
************************
Hii mana yake ni nini? Ina maana ndani ya dakika 4 (9:54:57 PM hadi 9:59:03 PM) nimetumia MB 37.3. Hii inawezekanaje? Hakuna uwezekano kama huo zaidi ya wizi wa mchana kweupe. Hata kama nilikuwa naplay youtube isingewezekana kumaliza 37.3 MB ndani ya dakika 4! Moja kwa moja huu ni wizi wa KIJINGA. Inawezekana hizi meseji zimetegwa tu kwenye system kwamba baada ya muda fulani wa matumizi ya internet zirushwe kwa mteja hata kama bundle yake haijaisha inafyekwa juu kwa juu. Hii ni biashara KICHAA, na hakuna mteja yeyote anayeweza kuvumilia WIZI huu wa KIBWEGE! Sikutegemea UJINGA huu kutoka kwenye kampuni kubwa kama Vodacom. When you grow horns, you also need to grow up! I didn’t expect such a foolish theft from Vodacom.

N.B
Huu WIZI unanitokea mara kwa mara ila leo uvumilivu umefika tamati. Nina hakika wateja wengine wa Vodacom mliomo humu mmeishashuhudia huu wizi UCHWARA. Siwezi kuwa adui kwa usema ukweli.
 
Mkuu naomba kukuuliza Swali la kawaida? Kwenye simu yako au laptop yako hauna app yoyote? Kama unatumia laptop windows yoyote iwe 7,8,10 huwa inajiupdate automatically unless uniambie ulienda kwenye update ukaisete isijiupdate automatically, kwenye simu mkuu kama una app ambazo umeziinstall nazo huwa zinatumia bundle bila hata kutaka na apps hizo zipo nyingi tu, mfano BBC,CNN,ALJAZEERA,WHATSAPP na nyingine nyingi ambazo unaziona hapo kwenye screen yako yote. Vitu vingine kama sio mtaalamu unaweza kuona kama mazingaombwe mkuu a vumilia kidogo kidogo utaelewa tu. Nadhani kipindi cha nyuma mambo yalikuwa mazuri hata bundle wakati linatumika kwa vitu hivi hukuwa unajua ila Magufuli kabana ndio umegundua!
 
mkuu. nimezima updates zote kwenye laptop yangu....hakuna application hata moja inayojiupdate kwenye machine hii...hili tatizo la kuibiwa bundle na VODACOM ni la muda mrefu, halijaanza leo wala jana ila leo uvumilivu umenifika tamati.
 
Hizi kampuni za simu baada ya kubanwa na Dr Makufuri walipe kodi, hasira zao wamezihamishia kwa wateja wasiokuwa na hatia. Tazama jinsi hizi kampuni zinavyowaibia wateja waziwazi:

Nimetumiwa meseji hii kutoka Vodacom nikiwa online lakini nikiwa si-upload chochote kile kwenye laptop yangu:

*******************
MB za kifurushi cha Intaneti cha TSH 1000 zimekaribia kuisha. Salio ni MB 37.3. Kuongeza kifurushi bofya: http://vda.cm/JazaIntaneti au piga *149*01#
Time: 7/27/2016 9:54:57 PM
*******************************************************************************
Nikiwa bado naendelea kusoma meseji hiyo na nikiwa sija-upload kitu chochote, nikatumiwa meseji nyingine hii:

*******************
Name:
Number: VodaTaarifa
Content:
MB za kifurushi cha Intaneti cha TSH 1000 zimekaribia kuisha. Salio ni MB 18.2. Kuongeza kifurushi bofya: http://vda.cm/JazaIntaneti au piga *149*01#
Time: 7/27/2016 9:56:33 PM
*****************************************************************************
Mwisho nimetumiwa hii hapa ndani ya muda huo mfupi:
*************************
Name:
Number: VodaTaarifa
Content:
Umefika mwisho wa matumizi. Endelea kutumia intaneti kwa Tsh.0.2 kwa KB. Kununua tena, bonyeza http://vda.cm/JazaIntaneti
Time: 7/27/2016 9:59:03 PM
************************
Hii mana yake ni nini? Ina maana ndani ya dakika 4 (9:54:57 PM hadi 9:59:03 PM) nimetumia MB 37.3. Hii inawezekanaje? Hakuna uwezekano kama huo zaidi ya wizi wa mchana kweupe. Hata kama nilikuwa naplay youtube isingewezekana kumaliza 37.3 MB ndani ya dakika 5! Moja kwa moja huu ni wizi wa KIJINGA. Inawezekana hizi meseji zimetegwa tu kwenye system kwamba baada ya muda fulani wa matumizi ya internet zirushwe kwa mteja hata kama bundle yake haijaisha inafyekwa juu kwa juu. Hii ni biashara KICHAA, na hakuna mteja yeyote anayeweza kuvumilia WIZI huu wa KIBWEGE! Sikutegemea UJINGA huu kutoka kwenye kampuni kubwa kama Vodacom. When you grow horns, you also need to grow up! I didn’t expect such a foolish theft from Vodacom.

Kabla hamjatumia vitu (mashikolo) muwe mnauliza kwanza ili mpewe maelekezo na wenye utaalamu na mambo hayo sio kulalamika tu bila point ya msingi, hivi wewe hujui kuwa laptop huwa ina-setting za background updating (yaani kuna software zinaji-update zenyewe kimya kimya tafuta mtu akusaidie settings mimi ni mtumiaji wa Vodacom toka enzi izo 0744 especially kwenye upande wa Internet huko kuliwa kwa mb tatzo ni laptop yako.
 
Jaribu Ku restrict background data!
 
mkuu. nimezima updates zote kwenye laptop yangu....hakuna application hata moja inayojiupdate kwenye machine hii...hili tatizo la kuibiwa bundle na VODACOM ni la muda mrefu, halijaanza leo wala jana ila leo uvumilivu umenifika tamati.
Unadhani wewe mwenyewe ndio unatumia laptop? Wote tunatumia na tumesoma IT so usitudanganye kadanganye kijijini ambako hawajui! Natumia simu ya smartphone na laptop na huwa nafuatilia sana hayo ni mambo ya kawaida kama updates iko automatically na simu mtu kainstall app, background inafanya kazi kwenye laptop unafikiri inatumia maji?
 
Kabla hamjatumia vitu (mashikolo) muwe mnauliza kwanza ili mpewe maelekezo na wenye utaalamu na mambo hayo sio kulalamika tu bila point ya msingi, hivi wewe hujui kuwa laptop huwa ina-setting za background updating (yaani kuna software zinaji-update zenyewe kimya kimya tafuta mtu akusaidie settings mimi ni mtumiaji wa Vodacom toka enzi izo 0744 especially kwenye upande wa Internet huko kuliwa kwa mb tatzo ni laptop yako.
mkuu, hivi wewe una hisa Vodacom? Ninapokuambia kwamba nimezima updates zote kwenye laptop yangu hunielewi? tatizo la WIZI wa vodacom ni la muda mrefu na kila mteja anayetumia bundle zao anafahamu hilo...kwanini wewe unatetea WIZI mkuu?
 
Mkuu, pole sana. Huo mtandao wa Voda Lowasa na Rostam ndio wenye hisa nyingi. Lowasa kafilisika kutokana na kutumia fedha nyingi kwenye uchaguzi. Rostam Aziz naye kafilisiwa na Lowasa. Hivyo hawana namna ya kuongeza kipato zaidi ya kuwabana wateja wa kampuni yao
Acha siasa kwenye vitu vya kitaalamu wewe! Kila sehemu siasa hata ambako siasa haihitaji? Unaonyesha kiwango kidogo cha elimu Yako! Jaribu kuficha ajue mkeo na Watoto tu.
 
mkuu, hivi wewe una hisa Vodacom? Ninapokuambia kwamba nimezima updates zote kwenye laptop yangu hunielewi? tatizo la WIZI wa vodacom ni la muda mrefu na kila mteja anayetumia bundle zao anafahamu hilo...kwanini wewe unatetea WIZI mkuu?
Fanya petition mkuu ili uwe na uhakika! Ila naomba kuuliza kwanza wewe umesoma fani gani mkuu? Ili tusijechanganyana mbeleni
 
Unadhani wewe mwenyewe ndio unatumia laptop? Wote tunatumia na tumesoma IT so usitudanganye kadanganye kijijini ambako hawajui! Natumia simu ya smartphone na laptop na huwa nafuatilia sana hayo ni mambo ya kawaida kama updates iko automatically na simu mtu kainstall app, background inafanya kazi kwenye laptop unafikiri inatumia maji?
kwanini wewe natetea wezi sana mkuu? nimekuambia nimezima updates zote kwenye laptop na smartphone yangu (data, wifi, blouetooth, location, etc)....kwanini unataka kunilazimisha nikusikilize wewe wakati najua ninachokisema? ina maana hizi updates kila bundle inapokaribia kuisha ndipo zinajiupdate au unataka kutuaminisha nini?
 
Hizi kampuni za simu baada ya kubanwa na Dr Makufuri walipe kodi, hasira zao wamezihamishia kwa wateja wasiokuwa na hatia. Tazama jinsi hizi kampuni zinavyowaibia wateja waziwazi:

Nimetumiwa meseji hii kutoka Vodacom nikiwa online lakini nikiwa si-upload chochote kile kwenye laptop yangu:

*******************
MB za kifurushi cha Intaneti cha TSH 1000 zimekaribia kuisha. Salio ni MB 37.3. Kuongeza kifurushi bofya: http://vda.cm/JazaIntaneti au piga *149*01#
Time: 7/27/2016 9:54:57 PM
*******************************************************************************
Nikiwa bado naendelea kusoma meseji hiyo na nikiwa sija-upload kitu chochote, nikatumiwa meseji nyingine hii:

*******************
Name:
Number: VodaTaarifa
Content:
MB za kifurushi cha Intaneti cha TSH 1000 zimekaribia kuisha. Salio ni MB 18.2. Kuongeza kifurushi bofya: http://vda.cm/JazaIntaneti au piga *149*01#
Time: 7/27/2016 9:56:33 PM
*****************************************************************************
Mwisho nimetumiwa hii hapa ndani ya muda huo mfupi:
*************************
Name:
Number: VodaTaarifa
Content:
Umefika mwisho wa matumizi. Endelea kutumia intaneti kwa Tsh.0.2 kwa KB. Kununua tena, bonyeza http://vda.cm/JazaIntaneti
Time: 7/27/2016 9:59:03 PM
************************
Hii mana yake ni nini? Ina maana ndani ya dakika 4 (9:54:57 PM hadi 9:59:03 PM) nimetumia MB 37.3. Hii inawezekanaje? Hakuna uwezekano kama huo zaidi ya wizi wa mchana kweupe. Hata kama nilikuwa naplay youtube isingewezekana kumaliza 37.3 MB ndani ya dakika 5! Moja kwa moja huu ni wizi wa KIJINGA. Inawezekana hizi meseji zimetegwa tu kwenye system kwamba baada ya muda fulani wa matumizi ya internet zirushwe kwa mteja hata kama bundle yake haijaisha inafyekwa juu kwa juu. Hii ni biashara KICHAA, na hakuna mteja yeyote anayeweza kuvumilia WIZI huu wa KIBWEGE! Sikutegemea UJINGA huu kutoka kwenye kampuni kubwa kama Vodacom. When you grow horns, you also need to grow up! I didn’t expect such a foolish theft from Vodacom.

N.B
Huu WIZI unanitokea mara kwa mara ila leo uvumilivu umefika tamati. Nina hakika wateja wengine wa Vodacom mliomo humu mmeishashuhudia huu wizi UCHWARA. Siwezi kuwa adui kwa usema ukweli.
Voda wanaboa. Kuna mtu wamekomba mb zake 500 wakaacha sms na dakika tu.
They have to change otherwise they may remain with no customers soon
 
kwanini wewe natetea wezi sana mkuu? nimekuambia nimezima updates zote kwenye laptop na smartphone yangu (data, wifi, blouetooth, location, etc)....kwanini unataka kunilazimisha nikusikilize wewe wakati najua ninachokisema? ina maana hizi updates kila bundle inapokaribia kuisha ndipo zinajiupdate au unataka kutuaminisha nini?
Nauliza tena mkuu ila samahani sana umesoma fani gani? Ili nijue naongea na nani au naanza vipi ili tuelewane
 
Voda wanaboa. Kuna mtu wamekomba mb zake 500 wakaacha sms na dakika tu.
They have to change otherwise they may remain with no customers soon
Mwambie aende mahakamani kama ana vithibitisho. Watanzania wengi nikwambie ukweli technlojia imetubeba sana hatuna akili kabisa, Tunafanya settings ambazo hata hatujui kama zinakula mb, zoleenii maji kwenye simu itumie maji ili msipate matatizo ya mb mnapofanya ujinga wenu wa kukubali au kuinstall app ambazo Hazina umuhimu
 
mie hawa voda nilisha wahama kutokanan a hizo sababu,nimejiunga kifurushi,nimezima data,tena internet ilikuwa weak bila upepo kuvuma kivurushi kimeisha.
Upepo ukivuma inakuwaje mkubwa? Haya makitu ya aina hii ndio useme yashindwe kulalama mb zimeisha bila kutumiwa?
 
Back
Top Bottom