Sometimes msiwe wepesi wa kuamini kila kinachowekwa humu. Hiyo picha haina ukweli wowoteaiseee ni hatari sana 2naelekea pabaya mno kama usengerema huu autakemewa utaacha athari ya ujinga kwa vizazi vyetu
Natupa rasmi line yangu ya Vodacom kuanzia sasa hivi. Yaani kabisa nitie halafu nitiwe? Inaonekana hawa Wabunifu wa haya Makampuni ya Simu siku hizi wanavuta Misuba siyo ya nchi hii. Kwahiyo kwa mfano ukienda Dukani unamwambia Wakala kuwa nitie halafu nitiwe hivi kwa Sisi Watu wa Pwani hapa si kutaka tu kutafutana ubaya humu mitaani?
Haha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahahahahaaa itakuwa ni mwendo wa kutiiiaanaa na kuutiiwaa tuu looh hawa Voda hawa wafute huu usemi kabla haujaleta madhara hehehehehehe
Haha huyo mtu sio wa kumchokoza akiliamsha dude ni hatar mkuu
nashukuru kwa kunielekezaSometimes msiwe wepesi wa kuamini kila kinachowekwa humu. Hiyo picha haina ukweli wowote
Haha ila huwa hapendi kusoma udaku mitandaon xo tupo safe mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kumbe unajua Mkuu sasa kwanini ulikuwa unanisakizia kimtindo?
Air Tel itakuwa ' gonga ugongwe'Ngoja waje[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]