dendizzo
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 966
- 1,345
Sometimes msiwe wepesi wa kuamini kila kinachowekwa humu. Hiyo picha haina ukweli wowoteaiseee ni hatari sana 2naelekea pabaya mno kama usengerema huu autakemewa utaacha athari ya ujinga kwa vizazi vyetu
Natupa rasmi line yangu ya Vodacom kuanzia sasa hivi. Yaani kabisa nitie halafu nitiwe? Inaonekana hawa Wabunifu wa haya Makampuni ya Simu siku hizi wanavuta Misuba siyo ya nchi hii. Kwahiyo kwa mfano ukienda Dukani unamwambia Wakala kuwa nitie halafu nitiwe hivi kwa Sisi Watu wa Pwani hapa si kutaka tu kutafutana ubaya humu mitaani?

