Vodacom na CRDB wanavyoibia wateja!

Ishu sio kama unavyofikiri shida ipo kwa mleta maada sababu yeye huwa anadharau vitu ambavyo ni muhimu sana katika maisha ya watanzania yeye sh 20 analialia je wengine ambao wanaumia na mambo mazito zaidi ya hayo na huwa anaandika ujinga tena makusudi sasa why asikilizwe? Kama Ana lalamiko si awapelekee hao kijani wenzake wenye mamlaka na sehemu zote za nchi hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli vyuma vimekaza hadi watoto wakiume wanasema wameibiwa shs 20! na 'mbado'! Baba Jesca kaza kamba hadi maji tuite 'mma'!
 
Mkuu,kuna watu majina yao ama ID zao zinasadifu uwezo wao kiakili. Mtu hana ushahidi kuwa ni Vodacom au ni CRDB ndio wanaokata hayo makato,then anakurupuka kama kafumaniwa kuja kuleta ujinga wake hapa.
SIM BANKING ni huduma inayotolewa na hao wawili defect ya mmoja lazima imhusu mwenzake...Tairi la gari likiharibika tatizo linakuwa ni la gari zima.
 
Kweli vyuma vimekaza hadi watoto wakiume wanasema wameibiwa shs 20! na 'mbado'! Baba Jesca kaza kamba hadi maji tuite 'mma'!
Bank ikilamba sent 5 -5 kwa wateja milioni mbili ni sh ngapi?
 
Una tatizo na mleta mada au mada yenyewe?Ni uzwazwa kulalamikia upotevu wa 1.5T halafu ukaacha kulalamikia sh 20.sh 1.5 trilioni haiwezi kuitwa hivyo kama ukiwa na upungufu wa sh 20...hayo ni mahesabu madogo sana.
 
Kwa kweli Kuacces SiM banking kupitia Voda kuna uonevu na Wizi mkubwa. Yani mtu unafungua menu ya CRDB unachagua huduma kisha unarequest unaletewa error message , ukicheki balance wamekata. Ukipiga namba zao wanapokea wanakata . Upuuzi huu hadi lini?
huo ndio uhuni ninaoukataa yaani sh 20 imeenda bila justification au bila huduma
 
Jaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.
Mtu ukikosa mpunga hata sha 1 utataka ujue imeenda wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vigezo na masharti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka tukusaidie nini? mengine mabaya kuliko haya unayafurahia hili ndio unaona ni tatizo kubwa, kumbe huwa mnashabikia mambo huku mioyoni mnaumia kimyakimya.
Nimewasilisha kwa niaba ya wanyonge wengi...matapeli mnaoshiriki kuuibia consumers lazima mchukie
 
Mbona wewe unashiriki meza moja na wale majangiri na mjizi ya democracia na nimadhurumati hadharani kweupe si bora hao voda na crdb. Tuliia n wewe ikiingie alaaaa


Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nashiriki meza moja na mfumo mpya na adhimu wa kuwadhibiti matapeli na wezi wa kimtandao wanaokandamiza wananchi.
Pia ninawachukia wanaowafuga kama nyinyi.
 
Kupanga Ni Kuchagua
Maendeleo Hayana Chama
 
Sijawahi kukaa kimya dhidi ya wizi
Zile Trillion 1.5, ESCROW, EPA na mengineyo uliiisha wahi kukemea hayo? zaidi ya yote tukitafuta post zako huku ulikuwa ukitetea na ulijivua kabisa akili zako za kuzaliwa na kutumikia akili za wengine hao unaowashabikia.
 
Zile Trillion 1.5, ESCROW, EPA na mengineyo uliiisha wahi kukemea hayo? zaidi ya yote tukitafuta post zako huku ulikuwa ukitetea na ulijivua kabisa akili zako za kuzaliwa na kutumikia akili za wengine hao unaowashabikia.
Tafuta post yangu yoyote iliyotetea wizi niwekee hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…