Vodacom na bado mtafilisika kabisa

Hahahah alishtuka kwann mkuu.
Nadhani alihisi kuna kamchezo fulani. Mdada mmoja namkumbuka kwa jina la pili "Mhagama" aliyepo Njombe alipokea simu na kujieleza kama vile ni pesa ya malipo ya deni lake aliyokuwa akiisubiri. Kilangila.
 
Sasa usanii wanaufanya hao hao voda inakuwaje mtu wa voda anashtuka tena alafu wa bodi anang'aa sharubu? asee
 
Vodacom wamezidiwa sifa ni mfabyabiashara mwenya kiburi anaezani milele atakua yeye serikali kufumba macho nao wanatupiga tu wananchi pesa haiendani na huduma
 
Alivyo ondoka Kelvin Twisa basi tena Vodacom uwezo wao wa kufikiri uliporomoka sana wasipo jitazama watapoteza wateja sana.
Biashara ya sasaivi ni internet TTCL wakijipanua tu kidogo na coverage kufika sehemu Kubwa kuna watu watapotea kabisa nchi hiii.

Halotel nao wamekua wajinga
 
Halafu kuna utitiri wa vifurushi kuwachanganya watumiaji tu. Ulaghai huu utawatokea puani. Ngoja mheshimiwa asikie hala malalamiko kama hajawaambia TTCL watoe data bure uone kama mtabakia na mteja hata mmoja
 
umeongea kwa jazba sana ila ujumbe umefika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…