year 2006
Member
- Jan 14, 2016
- 87
- 57
In juzi tu nimelipia DSTV kupitia vodacom mida ya jioni saa 12, huwezi amini nimekaa hadi saa tatu usiku hakuna msg yoyote hata ya m-pesa kuonyesha nimelipia huduma, baadae nikaamua kuwapigia simu wakajibu kuna tatizo la kimtandao lkn msg nitapokea muda mfupi ujao, nimekaa hadi asubuhi hamna jibu, nikapiga tena nikajibiwa kwamba kuna tatizo la mtandao nisubirie saa 72, nilichoka kwa jibu nililopewa, nikakaa hadi jioni nikapiga tena nikajibiwa ikitimia masaa 24 muda uleule niliolipia nitapata msg, ikapita bila msg yoyote sasa ni asubuhi hamna jibu na hela walishakata, sina huduma hadi saiz ni haki hii jamani.