hapo kosa lako kwanini ukosee namba,kuwa makini
habari ndugu zangu. Naomba kwa ambae lilishawahi kutokea hili kwake anisaidie nijue kama natendewa haki na Vodacom Mpesa.
Tarehe 3.3 nilikua natoa pesa bahati mbaya nikakosea nikatuma kwa namba tofauti ya wakala. Nililipoti tatizo cku hyo2 wakanambia ndani ya masaa 24 ntakua nimerudishiwa pesa yangu. Kinachonisikitisha mpk leo pesa yangu haijarudishwa nikiwapigia wanasema wakala hapokei cm.. Ndg zangu hv inaingia akilini wiki 2 inaenda ya 3. Vodacom wameshindwa kunisaidia eti wakala hapokei cm? mbona ikitokea mteja wa kawaida katumiwa pesa kimakosa huwa wanablock acc yake? Jamani nifanyeje nipate haki yangu kwa wakati? uhuni huu nimeshindwa kuvumilia. thanx for ur constructive advice. May God bless u.
Nilinunua umeme mpaka nikasahau,nikaenda kununua kwenye foleni,siku ya tatu ndo napata majibu ya mpesa..
Nilinunua umeme mpaka nikasahau,nikaenda kununua kwenye foleni,siku ya tatu ndo napata majibu ya mpesa..
..nafungasha,sitaki ujinga..siku tatu !!!???Pole sana Gefu. Kumbe kale ka msemo hamia nini vile kana ukweli ndani yk
Utakakohamia ndo majanga balaa....hao jamaa sijawahi sikia wamerudisha pesa kwa failed transaction...magumashi mara mbili..nafungasha,sitaki ujinga..siku tatu !!!???
mi kuna bukuntano niikosea mpaka kesho haijarudi
..liwalo na liwe..Utakakohamia ndo majanga balaa....hao jamaa sijawahi sikia wamerudisha pesa kwa failed transaction...magumashi mara mbili