VodaCom mmezidi

Mkyamise

JF-Expert Member
Apr 14, 2014
454
555
Jamaa wamekuja na mpya sasa. Ukitaka kuangalia salio M-Pesa kawaida unatozwa shilingi 60. Ukitaka kuangali bure unaambiwa download App yao. Sasa mimi nina simu ya tochi. Je hiyo App ninaiwekaje? Duuhhhh
 
Jamaa wamekuja na mpya sasa. Ukitaka kuangalia salio kawaida unatozwa shilingi 60. Ukitaka kuangali bure unaambiwa download App yao. Sasa mimi nina simu ya tochi. Je hiyo App ninaiwekaje? Duuhhhh
Wameanza lini? Maana na mimi laini yao ipo kwenye kitochi hapa.
 
Back
Top Bottom