Vodacom mmeona tunafaidi vifurushi vya Chuo?

Vodacom mmeona tunafaidi vifurushi vya Chuo?

Popote tuu hata Msalani/Chooni au Mkoa wa Rukwa,Kagera, Njombe isiyokua na Chuo kikuu hata Kimoja
Ubarikiwe, ninayo line ya Halotel, ngoja nifanye utaratibu wa kupata line nyingine kutoka maeneo ya chuo.
 
mkuu naomba namna ya kuangalia UEFA online unatumia program IPI
haina haja ya program...ni browser yako tu...ingia ronaldo7.net..chagua mechi unayoitaka kisha fungua streaming channels...for free kabsaaa
 
Kati ya vifurushi vilivyokuwa vinapangiwa foleni kubwa maeneo ya chuoni basi kifushi cha Vodacom.
Walikuwa wanatoa

Kwa Sh 300 unapata dakika 30 sms bila kikomo na Mb 350 ....Kwa siku

Kwa Sh 500 unapata dakika 50 sms bila kikomo na mb 500 ....Kwa siku


Kwa Sh 1500 ulikuwa una pata dakika 50 sms bila kikomo na 1gb kwa wiki.

Kwa sh 500 ulikuwa unapata mb 500 kwa wiki.

Lakini sasa wamevipunguza

Kwa sh 1000 una pata Mb 400 kwa wiki hakuna cha sms wala dakika.

Kwa sh 2000 unapata 1gb kwa siku 7 hakuna cha sms wala dakika.

HAKIKA MMETUWEZA.

Hameni wapo wanao wajali wanafunzi ,tena wamawasubiri kwa hamu kibwa!
 
imeanza lini? mi jtatu nilijiunga Voda kifurushi cha wiki kwa 1500
j tatu hii kajaribu tena,ukiambiwa haiptkan uwe muelewa mimi baada ya kuhangaik kwa zaid ya siku 4 sitak tena hii line
 
hiyo system imeanza lini kiongoz. mimi sasa hiv nimejiunga kama kawaida sijaona hayo mabadiliko
unayoyasema.
 
Kati ya vifurushi vilivyokuwa vinapangiwa foleni kubwa maeneo ya chuoni basi kifushi cha Vodacom.
Walikuwa wanatoa

Kwa Sh 300 unapata dakika 30 sms bila kikomo na Mb 350 ....Kwa siku

Kwa Sh 500 unapata dakika 50 sms bila kikomo na mb 500 ....Kwa siku


Kwa Sh 1500 ulikuwa una pata dakika 50 sms bila kikomo na 1gb kwa wiki.

Kwa sh 500 ulikuwa unapata mb 500 kwa wiki.

Lakini sasa wamevipunguza

Kwa sh 1000 una pata Mb 400 kwa wiki hakuna cha sms wala dakika.

Kwa sh 2000 unapata 1gb kwa siku 7 hakuna cha sms wala dakika.

HAKIKA MMETUWEZA.
Kwa upande wa net nakushauri utumie halotel au airtel hasa kwa offer zao za chuo, ndio wako vizuri sana!!!
Vodacom Tanzania na tigo ni wezi tu hawana jipya!!! kwanza net yako ika ka konokono!!
 
Wameanzisha utaratibu kama wa TIGO, wanafunzi wote wanatakiwa kujiandikisha, kisha ukishajiandikisha unaweza kujiunga mahali popote huhitaji kwenda kujiungia chuo, Vodacom Tanzania njoo utoe ufafanuzi, je ni kweli mnataka kufanya utaratibu huu kama wa tigo?
Ni kweli nimeona huu utaratibu.
 
Msaada naminiweze kujiunga na nahyo huduma ya voda--- university nifanyaje? siko maeneo ya chuo nlisha maliza litambo
 
Njie vijana someni acheni kupoteza muda kwenye mitandao. Tena changieni kodi tupate maendeleo. Cheap is Expensive. Majuto ni mjukuu.
 
Back
Top Bottom