Vodacom Message Msaada.

Vodacom Message Msaada.

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,700
Reaction score
104,838
Hello tena.

Nina tatizo la meseji kutoenda katika simu, mtandao wa Vodacom.

Nikitumia Nokia Tochi (feature phone), zinakubali pale tu nikitumia message kisha nika click option then reply. Ila nikienda New Message kisha nikasend kwenda namba yoyote, hazitaki. Hivyo ili nitume Message, ni lazima huyo ninaemtumia awe ameshawahi nitumia (Niwe nina-reply).

Sasa nikiweka katika Android phone ndio hakuna inayokubali. Yaani nime retry kusend zaidi ya mara 10 ila wapi. Zinakataa kwenda mtandao wowote.

Msaada please.
 
Back
Top Bottom