Vodacom LTE

deogan

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
399
Reaction score
46
Vodacom now testing LTE internet, currently available around Msasani area

Source: Vodacom's Facebook Page
 
yah mambo ya nokia siemens hayo,

nimeona website yao nokia wana upgrade mitambo ile ile ya 2g na 3g na kuifanya itoe 4g (lte), bila kuchange infrastructure. Yani kama vile una update simu toka software version 1 kwenda nyengine

hata hii speed ya karibuni ya voda ilikua ni kazi ya nokia
 

ngoja tuone kitakachojiri baada ya ku upgrade
 
Tatizo ni watu wangapi wana device zinazosupport hiyo LTE!!!
 
Tatizo ni watu wangapi wana device zinazosupport hiyo LTE!!!

samsung exhibit simu zinauzwa nyingi mkononi zina 4g, njoo galaxy s2, s3 mtaan zipo kibao ma android mengi yana lte mkuu
 
Si ndo watataka tununue na modem mpya za 4G, au wataziupgrade online?
chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Si ndo watataka tununue na modem mpya za 4G, au wataziupgrade online?
chief-mkwawa

mkuu kwa lte itabidi uwe na device mpya no way. Na hata ingekua inasupport modem zetu kama e303 zina speed hadi 7.2mbps. Hata hspa+ hazijafika.

Hope wataanza kutoa hspa+ kwanza modem za kuanzia 21mbps hadi 42mbps halafu ndo waje 4g
 
Last edited by a moderator:
mkuu kwa lte itabidi uwe na device mpya no way. Na hata ingekua inasupport modem zetu kama e303 zina speed hadi 7.2mbps. Hata hspa+ hazijafika.

Hope wataanza kutoa hspa+ kwanza modem za kuanzia 21mbps hadi 42mbps halafu ndo waje 4g

Wangefanya hivyo wasingekuwa mtandao wa kwanza wa simu kutoa LTE, mi naona hii imekaa kiushindani zaidi 3.75g as advertized by Airtel itakuwa inawaumiza sana vichwa hawa jamaa.
 
vodacom lte + unlimited internet ya 200 dadeki itakuwa balaa. mwaka huu
 
vodacom lte + unlimited internet ya 200 dadeki itakuwa balaa. mwaka huu

umeona wapi mama lishe akakupa sahani mbili kwa bei ya zamani.
Lazima ifutwe, mabundi mtakoma
 

Na wanaiita "frequency refarming." 3G technology inakuwa implemented kwa kutumia 2G BTS, na 4G technology inakuwa implemented kwa kutumia 3G BTS.
 



Voda wanajitahidi sana ukilinganisha na mitandao hii mingine..
View attachment 81533
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…