Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Nimekua na furaha sana baana baada ya kugundua kuna kaofa mlinimegea, mpaka leo naendeleo kuitumia bila wasi wasi, nimekua kama wakala kwasasa kuwatafutia ndugu, jamaa na majirani line zenu ili watumie.
Kila kukicha nawanunulia baazi ya watu line zenu ili wanibip tu niwapigie voda to voda.
Mnafaham sana kwa upande wa Zanzibar wateja ni wachache, wengi wao zantel, ila mpaka kufikia wengine kunisikiliza line za zantel wamepotezea kwa ajili yangu.
Nisiwachoshe sana ni kwamba, mmenifurahisha kunipatia fursa ya kujiunga dkk 100 kwa tsh 200 sms 100 na mb 100 kwa wiki, kinazidi kunifurahisha zaidi hata kama kuna dkk nizijiunga hapo napandishia zingine, hapo ni kutwanga mpaka nachoka mwenye na niliowashawishi nawaambia wanibip tu wakiwa na shida nitawatwangia mpaka wamalize shida zao, hata wewe mwanajamii ikiwa ni maskini kama mimi ukiwa na voda nipm nitakuunganisha na rafiki zako mzungumze mkichoka mtajiondoa wenyewe ni hayo tu.
Nawasilisha.