Halotel ndo kiboko yao.internet iko speed kabisa
Pga nyota 149 nyota 01 kisha nyota 75 then reli utapata ofa hyo tena mwenz nzma voda raha
Hamna mkuu inategemea na line, hata nilipokua mwisho wa reli nilikua naitumia mpaka masikio yanadata.
Katubuka?
ni kusikia VODACOM natamani nitapike ,