Msukuma_De_Great
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 1,185
- 972
Vodacom wengne mnatukimbiza pasipo kupata msukumo wa issue ya lema. kwani tunaona kampeni ya kuwakataa sasa wengne tulipuuzia ila kwa vili line naiweka kwenye box la taka. Mwanzo mlikua mnatoa 500mb kwa 500 then ikawa 500mb kwa 1000 io ilikua kwa vifurushi vya siku.. mkaja na danganya toto ya 1000 kwa mb500, 50 free mb na facebook bure ambayo ukiishiwa kifurushi tu picha huzioni huku 500 ilikua 150mb na 20mb sasa naona uku kwenye mb's ndo naona imekua biashara sasa imekua 200mb kwa 1000 na 70mb kwa 500.. Jiandaeni kupoteza wateja. Na TCRA nao sijui kazi yao kukamata wanaopost fb tu kwann wasisimamie kampuni kwa huu wizi.. soon nadhan itakua 20mb kwa 500 na 50mb kwa 1000.