Vodacom kufuta vifurushi vya Uni Offer

Vodacom kufuta vifurushi vya Uni Offer

Dah hapa tuwaombe tu watuonee huruma...hao wengine kweny internet wako slow sana. Vodacom kile kifurushi cha usiku tu, tunaomba kianze saa tatu usiku, tunawaomba sana
 
Kifurushi changu kinaisha leo cha 3000/= kwa 2GB, ila sasa wameshusha hadi 1.2GB kwa 3000/=

Nipo hapa nyumbani(TTCL) ni kitendo cha kufungua mlango na kuanza kuunga juhudi mdogo mdogo.

Vodacom Tanzania endeleani na kiburi chenu

Yaan gharama kubwa mno leo mi nahamia TTcl tu kwa kweli kuna mtu anafurahia tu gharama nafuu
 
Vodacom kama mnausoma huu uzi inabidi mrudishe vifurushi vya uni offer,wateja wenu wanalalamika,muda si mrefu mtakosa watumiaji maana tunahamia mitandao mingine

RUDISHENI VIFURUSHI VYA UNI OFFER
Tiyr mkuu ishard
 
Vodacom kama mnausoma huu uzi inabidi mrudishe vifurushi vya uni offer,wateja wenu wanalalamika,muda si mrefu mtakosa watumiaji maana tunahamia mitandao mingine

RUDISHENI VIFURUSHI VYA UNI OFFER
Nilijua kwangu tu, kumbe ni nchi nzima duh huu sio mtandao sasa
 
Kifurushi changu kinaisha leo cha 3000/= kwa 2GB, ila sasa wameshusha hadi 1.2GB kwa 3000/=

Nipo hapa nyumbani(TTCL) ni kitendo cha kufungua mlango na kuanza kuunga juhudi mdogo mdogo.

Vodacom Tanzania endeleani na kiburi chenu
Mkuu ukiipata na bundles zake naomba unitag mi bundle langu la voda ni kesho,nimeangalia menu yao naona nitafute alternative nyingine, miaka 16 na Vodacom Tanzania inatosha
 
Back
Top Bottom