LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
hiyo ni kwako tuni kweli voda internet imekuwa kero, kwa kama siku saba hivi imekuwa vigumu kupata vifurushi vya net kwa kutumia *149*01#. huwa natumia kile cha mb 100 shs 700,siku hizi kila nikijaribu napata jibu the service is current unavailable!!! Sijui ni mimi tu au ni wote!!!
hiyo ni kwako tu
Si kwako peke yako, mi nilichofanya ni kununua internet kwa rafiki. Voda sina hamu nayo. Unlimited ya siku saba imeisha nimeshindwa hata kuatach 500kb file.
Ndo tatizo la kutumia michina
Ndo tatizo la kutumia michina
Umeona eeh
mchina hapa unahusikaje, mtu anatumia internet ya kwenye modem na tena hizo modem ni wenyewe voda wameziuza , usiandike kwa kukurupuka na wewe uonekane umechangia!
ameona nini, kwahiyo modem za voda wanazoziuza wenyewe ni mchina??!! ushabiki mbuzi!