Vodacom Internet Imekuwaje Leo 6 JAN 2016

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,431
Hii Nilijua Kwangu Tu nikazima Simu nikawasha Ila Wapi.. na Hakuna Taarifa yeyote vipi Kuna Nini huko?...

Nipo Kanda Ya Ziwa Sijui huko kwenu
 
Basi itakuwa ni tatizo kubwa mimi niko Mbeya huku inazingua toka mchana mpaka sasa hiv hakuna kitu
 
Hii Nilijua Kwangu Tu nikazima Simu nikawasha Ila Wapi.. na Hakuna Taarifa yeyote vipi Kuna Nini huko?...

Nipo Kanda Ya Ziwa Sijui huko kwenu

leo wamekua jipu kubwa nilikua na kazi ofisini dah ikanibidi nikanunue wiress ya tigo ndio imenisaidia. voda sihami
 
Nilidhan tatizo la peke yangu. Tujiandae kwa zawad ya mb 10 kama kawaida yao.
 
Back
Top Bottom