Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,053
At least mimi nikijaribu kubadili hizo tuzo points kuwa hela kwenye Mpesa. Haikubali ng'o. Labda kuzibadili kwenye kwenye bundle hapo sawa.Kawaulize watu 10 kuhusiana na TUZO POINTS. Mmoja tu atakuambia TUZO POINTS ni kitu gani na kama zinamnufaisha. Promotion gani wateja wenu hawaifahamu? Promotion huwa haihitaji mtu kwenda DARASANI kuielewa.