Vodacom Hawajitambui.

TTCL 2,500 ni 3gb, hizo mb500 wamezidiwa na kifurushi cha 500 cha ttcl ambacho unapata mb600
 
Mie ipo tu kwaajili ya kupokea simu in case mtu kapiga, wakijisikia waifunge tu.
 
Hii ndio sababu ilionifanya niwe na line zote kasoro ni ya TTCL tu kwa sababu inazingua kukamata mnara baadhi ya maeneo.
 
hawafai hao mmbwa
 
Kesho mapema tu...nakwenda kubadilisha line.

Voda wahuni sana
 
Naenda zangu Halotel yaan 1000 napata GB1 Sms 500 na dakika 50 siku 7
Ujinga wa halotel hio 1GB yao ni kiini macho tu, wanakupeni 600MB unadanganywa ni 1GB ukiingia youtube na instagram kidogo tu ishaisha.
nimewaacha naona wananitumia buku buku mpesa eti gawio
,sijui wananifananisha na serikali.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mie wamentumia sh.50 eti gawio. Wasenge kweli hawa mbuzi wa hitima
 
Hio internet ya kushinda youtube mwaka mzima bei gani. Hio ndio itanifaa kwa smart tv yangu. Hebu mwaga nondo kidogo.
 
Karbu tgo mzee. Hizo 10 gb unazipata kwa 10k tu. Plus madakika na mbs kibao. Kwa mwez mzima
 
Sijui wamewaza nini. Narudi zangu Tigo na mimi. Kwanza wanavyoiba sasa. Hizo MB 500 utatumia whatsapp tu ila masaa 8 hayaishi eti umemaliza.
Kumbafu zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…