Vodacom free internet bureee unlimited

Vodacom free internet bureee unlimited

april fools day guys ha ha

leo nimeshangazwa na watu wakubwa ka wewe na C6 kuposti mashudu,pumba na utumbo...vilivyooza....wangekuwa jf members tunge watorerate lkn sio ma senior....technologia hauwez kua kwa mashudu ka haya ....samahani kama nimewakera
 
Last edited by a moderator:
leo nimeshangazwa na watu wakubwa ka wewe na C6 kuposti mashudu,pumba na utumbo...vilivyooza....wangekuwa jf members tunge watorerate lkn sio ma senior....technologia hauwez kua kwa mashudu ka haya ....samahani kama nimewakera

mshikaji umemind saaana, sasa unalalamika na kubwabwaja utakuwa hupewi vitu vizuri kwa sababu kama hizi, ina maana wewe peke yako ndo mwenye hasira ama? watu wooooote hawajaona ila wewe tu ndo umeumia? tena unanimind huyohuyo ambaye umenipm nikupe maujuzi, ungekuwa na staha ungekuja Pm ukasema yooote
 
umechafua Cv yako..huoni pumb..vu hapo juu na kwenye thread yenye utumbo wako.....Hiloooooo
 
Haya mi napita mbali na shimo, SITAKI BAN NAIPENDA SANA JF..
 
Tatizo letu wabongo we are not ready to face the reality,,ndo maana unaona mfano dhahiri tunaanza kuembeana BAN lkn haki siku zote itasimama kama isimamavyo sasa
 
what reality? ukiwa na tatizo either personal au general tumia tu lugha nzuri ya kistaarabu, sasa kuita watu pumbavu, mashudu na maneno ya kejeli ndo ustaarabu kweli kaka njunwa?

mara chache sana kuona mtu anakula ban kwenye jukwaa hili coz wote tunaheshimiana hata ambao ni wageni, sio poa kumchana mtu lugha ambazo hata wewe usingefurahi kuitwa, nikajua umejifunza kitu kutokana ban mkuu?
 
Nyie watu,nani kawaloga?
Ugomvi wiki nzima,ndio hasira gani hizo,sasa?
 
sijagombana na mtu, mie full amani, tena sipendi ugomvi kabisaaa ila naona ban ya siku mbili haijamfunzi mtu, labda ya mwezi itasaidia.
 
mkuu unafurahisha sana,,, BANI haiui kwa taarifa yako ,waki-ban account hawakuban usi-create nyingine, wala hawakuban kama usiendelee kuingia jukwaani ...ndo maana nazipenda sana FORUMS
 
what reality? ukiwa na tatizo either personal au general tumia tu lugha nzuri ya kistaarabu, sasa kuita watu pumbavu, mashudu na maneno ya kejeli ndo ustaarabu kweli kaka njunwa?

mara chache sana kuona mtu anakula ban kwenye jukwaa hili coz wote tunaheshimiana hata ambao ni wageni, sio poa kumchana mtu lugha ambazo hata wewe usingefurahi kuitwa, nikajua umejifunza kitu kutokana ban mkuu?

Wanaoeshimiana mkuu najua HAWACHEZEANI AKILI HATA SIKU MOJA ,,ok nilifanya vibaya ku2mia lugha zilizo kukera,,lkn lazima ujue na ukubali REALITY ulikosea pia na wewe
 
nilikosea nini? it was april fools, what did you expect? nani uwa anaandika vitu sensitive kama kupeana ujuzi wa free net kwenye wall ? ngoja nikufundishe kitu njunwa, kama ukiona mtu kaandika kitu na hujakipenda we kaa tu kimya usicomment maana mtu mwenye jazba uwa hana majibu mazuri mwisho wa siku utajikuta uko matatizoni, na ukipenda ushindane na mimi utanichukia bure na kuishia kuchukia jukwaa,
believe me
 
Back
Top Bottom