Vodacom expo: Mlimani city

Vodacom expo: Mlimani city

Nilikwenda just kumpeleka mshikaji akaangalie simu ya kununua ila Walichokuwa wanasema ni kweli, bei zimeshuka sana, ila tatizo ni kwamba wanaokuja kununua unaambiwa stock imeisha kumbe mzigo wa maana umechukuliwa na wenye maduka. Nyie mtaambulia visimu vilivyochoka. Nikaulizia ipad 2 nkaambiwa kuna muhindi ametoa order ya kuchukua mzigo wote.

wenye maduka makubwa wameneemeka sana.
 
Upumbavu wa bongo ndiyo huo; ULANGUZI!...kila kitu kinafanywa deal. Hapo sasa voda kama wako makini washushe mzigo wa kufa mtu nchi nzima, hao walanguzi ziwadodee!
 
watu walikua wengi lakini bidhaa hazikuwepo. wameomba msamaha wakasema kilichoharibika leo wasamehewe kesho watafanya poa zaidi. lakini mimi kama mimi nmewadharau sana. hawajajiandaa. bora hata huawei hawajapunguxa bei kivile lakini mzigo ulikuwaepo wa kutosha.
View attachment 119460
1383411418757.jpg
mia
 
Upumbavu wa bongo ndiyo huo; ULANGUZI!...kila kitu kinafanywa deal. Hapo sasa voda kama wako makini washushe mzigo wa kufa mtu nchi nzima, hao walanguzi ziwadodee!

voda washaondoa stock yao ya zamani, hadi miaka kadhaa ipite tena itokee kitu kama hii.
 
Back
Top Bottom