Old Skuli
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 690
- 178
Jamaa wamekuja na hiyo kitu wakisema watauza simu za Samsung, Huawei,Tecno na Nokia kwa punguzo kubwa la hadi 80% pale Mlimani city Nov 2 na 3.
Naomba atakaeshuhudia au mwenye taarifa zaidi atupe updates ya:
1.Simu hasa zinazouzwa ni smartphones au zipi?
2.Je kuna gadgets/electronics za ziada zinauzwa kwa hilo punguzo?