Vodacom e173

Vodacom e173

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Habari zenyu wakuu,
Samahani nauliza wapi naweza download setup ya modem tajwa hapo juu, mwenye kujuwa anipe link.

Ahsanteni.
 
Kamanda chukua hii upgrade dashboard niliyo attach.
Ukishadownload hii software chomeka modem yako katika Pc then run hiyo software.
Mambo ya kuzingatia wakati unarun hiyo kitu
1.Hakikisha pc yako ipo on muda wote unaofanya hiyo upgrade.
2.Usichomoe modem kabla haijamaliza kuupgrade
3. wakati unaaendelea kuupgrade dashboard usirun program nyingine mda huo.

4.usishut down pc kabla ya kumaliza mchakato.

dashboard.jpg
 
Attachments

Ubarikiwe sana Mkuu, mara baada ya kui-extract ikaja meseji: ''Some items are blocked due to security reason'', nikashtuka nikajisemea nitakuwa nishatumiwa yale mambo yetu yalee, lakini hakuna kibaya kilichotokea, kila kitu kimeenda sawa, nashukuru sana.

Kamanda chukua hii upgrade dashboard niliyo attach.
Ukishadownload hii software chomeka modem yako katika Pc then run hiyo software.
Mambo ya kuzingatia wakati unarun hiyo kitu
1.Hakikisha pc yako ipo on muda wote unaofanya hiyo upgrade.
2.Usichomoe modem kabla haijamaliza kuupgrade
3. wakati unaaendelea kuupgrade dashboard usirun program nyingine mda huo.

4.usishut down pc kabla ya kumaliza mchakato.

View attachment 83205
 
Back
Top Bottom