JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Mi nimehama kabisa... Nilikuwa najiunga mara 3 kwa siku. Sasa hivi halotel najiunga mara moja na bando linabaki
Tatizo kizazi cha T coverage yenu ni ndogo sanaNjooni kwenye kizazi cha T
poleni kuendelea na Shida hizo
Tigo buku ndo unapata hizo 200MB, twice as muchTumia haloteli sh mia tano mb mia mbili.
Hiki ni cha Usiku wa manane au?Tigo mbona wana kifurushi cha 1GB kwa shilingi 600.
Tatizo huko mtandao unasuasua wakati mwingine unaweza kumpigia mtu simu na kakaa pembeni yako ukaambiwa haipatikani , au ikakata tu bila majibu na internet spidi mhUgomvi wa nini. Jaribu Airtel sh 1000 GB 2 kwa siku 3, dk 100 muda wa maongezi nk, meseji kibao.
Nenda mitandao mingine pia:
Halotel, TTCL, Tigo huenda kuna mazuri yake pia.
nime estimate vibayahapana mkuu nili refer 2000 kwa siku 7
Nunua vocha ya buku kuna maelezo jinsi ya kuingiza ili kujiunga.Hiki ni cha Usiku wa manane au?
Kuna jinsi ya kuingiza vocha ya buku ili kupata hiyo package.za usiku?