Sadock Kabuko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 1,167
- 1,078
Achana nao hamia mtandao mwingne
Sio kweliSema inategemea mimi tigo nimejiunga kwa 2000 wamenipa 10gb kwa mwezi na eneo nililopo speed iko poa.
Ohoooooo!!!kumbe ni danganya toto ngoja nimalizie hizi GB zao nitafute ustarabu mwingine.For selected customers na baada ya kama week mbili hivi utatolewa kwenye list.
Ukweli upi unao ujua wewe?Sio kweli
Kuna kitu wanakifanya..Nilifikiri hili tatizo la bundle kwa vodacom ni langu ila nimejaribu kuamia mitandao mingine kwa kutumia hiyo MNP nimeshindwa naomba maelekezo voda wanakosa credibility kwa wateja wake kwasasa
Itabidi na mimi niwahame,speed ya kinyonga ni kubwa kuliko speed ya tigo internetTigo nilishawahama zamani mkuu
Hii ni offer kwa watu maulumu sio woteSema inategemea mimi tigo nimejiunga kwa 2000 wamenipa 10gb kwa mwezi na eneo nililopo speed iko poa.
Mkuu upo eneo gani Tzs 2000 = 10GB? I can't believeSema inategemea mimi tigo nimejiunga kwa 2000 wamenipa 10gb kwa mwezi na eneo nililopo speed iko poa.