Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
ndio habari za kuwa na marketing manager vijana..Yes we do....twisted mind...ha ha ha
no CREATIVITY
Huyo narketing manager katisha kinyama...
obvious wa tigo ndo katisha...voda ndo waliotanguliawa wapi sasa wa tigo au voda??? Na unajua tangazo lipi lilitangulia hapo??
hahah hhaya bana mimi yangu macho ngoja niangalie tu mtanange wao utaishia wapi???obvious wa tigo ndo katisha...voda ndo waliotangulia
Hili tangazo lipo siku nyingi alafu cjui kwann hawa voda hawajashitukia
Ndo kama ya nokia na samsung