Leo katika kujaribu kununua ile daily unlimited ya 1000 nimeshindwa kuipata katika menu, badala yake kuna 500Mb kwa 1000. Ngoja niingie mtaani nikatafute Halotel sasa.
Nimenunua halotel, ila mpaka sasa nimeshindwa kuitumia nikipiga ile namba yao inasema sijasajiliwa wakati walisajili pale pale. Net haiingii, ngoja niwape musa labda wataiwasha soon.
Leo katika kujaribu kununua ile daily unlimited ya 1000 nimeshindwa kuipata katika menu, badala yake kuna 500Mb kwa 1000. Ngoja niingie mtaani nikatafute Halotel sasa.
Hawa jamaa wa Halotel wanayo Unlimited? Manake sie wengine at least 15 hours upo active online... sasa hivi vifurushi ambavyo sio unlimited ni full maumivu!!! Baada ya Voda kutumwaga, nikaenda Smart lakini kwenye eneo langu Smart very poorkanunue mkuu 800MB za kasi(unlimited) na mtandao wao haupotezi (H+)
Nimetumia Voda Internet kwa miaka sasa lakini sina jinsi manake kile kifurushi chao cha 15 GB naweza kukimaliza ndani ya cku 5... so, nitahamia popote kwenye Unlimited though nimejaribu kwa smart, network yao mbovu maeneo yanguTatizo wengine hatuwezi kuhama mitandao kama daladala.
Voda wameniudhi sana.
Issue wala sio movies manake watu wa movies na series kuna night bundles ambazo hazina pressure kabisa... unaacha mzigo unashuka; mwenyewe unaenda kupiga mbonji. Uchumi wetu siku hizi umebadilika kwahiyo matumizi ya internet commercially ni makubwa vile vile hata ktk individula levelMbongo unampa unlimited? Wabongo hawana kiasi... Wananyonya hao. Moivies n.k ili tu kutia hasara...
Nimenunua halotel, ila mpaka sasa nimeshindwa kuitumia nikipiga ile namba yao inasema sijasajiliwa wakati walisajili pale pale. Net haiingii, ngoja niwape musa labda wataiwasha soon.
Issue wala sio movies manake watu wa movies na series kuna night bundles ambazo hazina pressure kabisa... unaacha mzigo unashuka; mwenyewe unaenda kupiga mbonji. Uchumi wetu siku hizi umebadilika kwahiyo matumizi ya internet commercially ni makubwa vile vile hata ktk individula level