Voda speed ya kobe

Voda speed ya kobe

hawa jamaa yapata wiki sasa speed yao imeshuka hadi inakera

True, haswa kuanzia mida ya jioni mpaka usiku....asubuhi kidogo kuna unafuu ingawa sio kiviiiile...
 
mhhh. sasa kama voda kimenuka tutaelekea wapi sasa.maana airtel ilishanikera hadi basi.tigo nayo ndio usisemeee.wote mwendo wa kobe
 
Mara nyingi ukiona mtandao uko slow linaweza kua tatizo la mda tu...
Kama ni tatizo la mda mrefu inabidi ujiangalie wewe kama mambo yako poa
 
Back
Top Bottom