mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,656
wamekopa mkuu wameenda kulizungushia kwenye biashara nadhani watakurudishiaVoda kweli wezi, mimi Kila nilipojaribu kuweka 1000, nikajiunga na bando la buku, wakajibu subiri confermation ilipo kuja kuwa huna salio; nilichoka. Siku nyingine nikaweka buku, sikupiga wala kupokea cm na msg, jioni sina salio hata 10.