Dakika 230 zinaishaje ndani ya wiki mbili?? Huu ni wizi wa mchana!! Acheni mchezo huu, mi nafunga kaline Kenu mpaka miaka mitatu
Nilinunua bundle yao ya internet ya mwezi mzima. Ikaisha baaada ya kutumia dk. 15 the same day! Bullshit wezi hawa. Tutaonana jehenamu.
Nilinunua bundle yao ya internet ya mwezi mzima. Ikaisha baaada ya kutumia dk. 15 the same day! Bullshit wezi hawa. Tutaonana jehenamu.
Mwamvita Maamba yupo vodacom SAnaibuwaziri anayesimamia hii wizara anataka urais
je utampa?
Mwamvita Makamba yupo vodacom SA.Rostam na Lowasa wamiliki wa vodacom ila kuna mtu kani onya kuwa vodacom ni mradi wa ccmnaibuwaziri anayesimamia hii wizara anataka urais
je utampa?
Dakika 230 zinaishaje ndani ya wiki mbili?? Huu ni wizi wa mchana!! Acheni mchezo huu, mi nafunga kaline Kenu mpaka miaka mitatu
Voda kweli wezi, mimi Kila nilipojaribu kuweka 1000, nikajiunga na bando la buku, wakajibu subiri confermation ilipo kuja kuwa huna salio; nilichoka. Siku nyingine nikaweka buku, sikupiga wala kupokea cm na msg, jioni sina salio hata 10.