Broken soul
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 459
- 131
Yani kusema la ukweli Voda nimewachoka!
Nyie ndo mmewajua leo kuwa voda ni nyoko? Mke wangu aliajiriwa na voda,nikamuuliza kuwa: chagua voda au ndoa,akachagua ndoa,wote tukaenda airtel,voda washenzi sana!
Kwanza ni wezi na menyu yao ya kipuuzi..
Mi siwataki hata bure.
Yani kusema la ukweli Voda nimewachoka!
network zenu zipo very poor, nikituma msg inagoma kwenda eti "network conjestion"
Naeza nkamtext mtu msg ikafika baada ya masaa wkt simu ya huyo mtu IPO on
Mtu anaeza akanitxt msg ikafika baada ya siku 3
Voda mnanikata stimu
Daah nimechoka
airtel huioni?
Tatizo hii # nnayoitumia now watu wengi wanaifahamu
Huduma ya blackberry ndio ovyo kabisa tangu juzi network hakuna ukipiga simu wanajibu majibu yasio fanana voda now mnaboronga sana
Nyie ndo mmewajua leo kuwa voda ni nyoko? Mke wangu aliajiriwa na voda,nikamuuliza kuwa: chagua voda au ndoa,akachagua ndoa,wote tukaenda airtel,voda washenzi sana!