voda leo!

voda leo!

Cestus

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
987
Reaction score
132
speed imeongezeka ajab!mchana kweupe napata had 250kbps!let me enjoy it while it last!
 
Hiyo ndio download speed au? 250kbps mbona ni ndogo sana mkuu? hapo movie ya 700mb unadownload kwa zaidi ya masaa 8 hivi! watu tunapata speed ya 2.4mbps
 
Mh hiyo ndogo kaka..mimi hizi line zangu za mazabe napata internet ya Bureeeee kabisa kwa 3.1MBps ni zaidi ya rahaaaaaaa
 
Hiyo ndio download speed au? 250kbps mbona ni ndogo sana mkuu? hapo movie ya 700mb unadownload kwa zaidi ya masaa 8 hivi! watu tunapata speed ya 2.4mbps

Uncle Rukus na SHAROBARO acheni masikhara speed hizo bongo mnapatia wapi?
 
Mkuu kweli nipo tanzania maana hata usiku wa manane siipatagi hiyo speed,
Mkuu,pole sana.....ukisema tanzania ni nje ya Dar mkuu..... natumia tigo napata speed ya 2.5mbps asubuhi hadi usiku, wewe tu mkuu ujapenda kupata hiyo speed, hama uko voda jiunge na mitandao ya ukweli....Airtel,tiGO,TTCL,Zantel hii ndio mitandao ya ukweli... vodacom na SASATEL vimeo
 
achen kamba bana mmenunua dedicated conn. ama?3 mbps tz kwa net ze2 za magumash bdo sana!
 
kwa bongo 2.5mbps ni kudanganyana tu,yaani spidi imezidi sana ni 1.5mbps nadhani ni airtel kwa tigo i don think so coz i used all networks.

Hebu tumia zantel ujionee mambo, huwezi kulinganisha na mitandao mingine tatizo lao ni bei
 
Hiyo ndio download speed au? 250kbps mbona ni ndogo sana mkuu? hapo movie ya 700mb unadownload kwa zaidi ya masaa 8 hivi! watu tunapata speed ya 2.4mbps

Uncle Rukus hiyo 250kbps umeielewa kweli, kwasababu download speed ya 250kbps kwa movie yenye 700MB inachukua dakika 47 tu piga hesabu tena usikosee tena..alafu wana JF msidanganyike kwasababu hata kama modem ina uwezo wa 7.2mbps hawa isp wetu wanapunguza Bandwith ya download speed kati ya 64kbps-300kbps. Ukipata 100kbps katika downloads shukuru mungu..:mod::mod:
 
kwa bongo 2.5mbps ni kudanganyana tu,yaani spidi imezidi sana ni 1.5mbps nadhani ni airtel kwa tigo i don think so coz i used all networks.

Tatizo lenu ni wabishi, ngoja umeme urudi niwachukulie snapshot ya kile nachokipata kwa modem yangu, tena tiGO ndio napata speed ya juu kuliko Airtel.
 
Uncle Rukus hiyo 250kbps umeielewa kweli, kwasababu download speed ya 250kbps kwa movie yenye 700MB inachukua dakika 47 tu piga hesabu tena usikosee tena..alafu wana JF msidanganyike kwasababu hata kama modem ina uwezo wa 7.2mbps hawa isp wetu wanapunguza Bandwith ya download speed kati ya 64kbps-300kbps. Ukipata 100mbps katika downloads shukuru mungu..:mod::mod:
una maanisha 100kbps or 100mbps?
 
Hapo ni 100KiloBytes Per Second,,Uncle Rukus hebu tupia hiyo picha ya download speed tuone
 
attachment.php

Haya mliokuwa mkibisha tizameni speed nayoipata ni 2.81mbps.
attachment.php

hapa imeshuka hadi 2.50mbps.
attachment.php

Hapa imeshuka tena hadi 2.42mbps, ambako haishuki shini zaidi ya hapa iwe asabuhi au usiku speed inakuwa hivi hivi.
attachment.php

Hii ni IP Adress ya tiGO ....
attachment.php

Hapa nilikuwa napima speed nayoipata wakati na download,
ambayo download speed ni 2358 kbps,
(294.8 KB/sec transfer rate)

Kuna mdau hapo juu amesema kufikisha speed ya 100KBps ushukuru Mungu, wakati mimi speed yangu ya kudownload ni 294.8 KB/sec

tigo3.jpg tigo3333.jpg tigoooooooooo.jpg tigo mtandao wa wajanja.jpg tigo 2.jpg
 
Ukiangalia picha mbili za mwanzo utaona kuna ka pop up window, Ka-VUZE ambayo ni torrent download, inaonyesha speed ya jinsi inavyo shusha files.... Akika maisha ni matamu sana ukiwa na mtandao wenye speed... hadi siku hizi na hack vijiserver ushwara hah hah hah hah:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

attachment.php

attachment.php
 
achen kamba bana mmenunua dedicated conn. ama?3 mbps tz kwa net ze2 za magumash bdo sana!

mie mwenyewe airtel inaandika hspda na inapiga mbio mpaka 400Kb per second. ina maana one MB inashuka kwa sekunde mbili au tatu tuuu

na inaponuna inadondoka mpaka 60KB kwa sekunde
 
Uncle Rukus hiyo 250kbps umeielewa kweli, kwasababu download speed ya 250kbps kwa movie yenye 700MB inachukua dakika 47 tu piga hesabu tena usikosee tena..alafu wana JF msidanganyike kwasababu hata kama modem ina uwezo wa 7.2mbps hawa isp wetu wanapunguza Bandwith ya download speed kati ya 64kbps-300kbps. Ukipata 100kbps katika downloads shukuru mungu..:mod::mod:
haya tupige hesabu pamoja:
kwanza tugeuze kbit ziwe kilobyte nayo ni kugawa kwa nane
250kbps=250/8=31.25KB/s
kisha hiyo 700MB tuifanye naye iwe kilo byti kwa kuizidisha kwa 1000.
itakuwa 700000Kb

na muda utaochukua ni 700000/31.25= 22400 seconds
ambazo ni sawa na dakika 373.3
au ni masaa 6.2
 
Back
Top Bottom