Voda kuna tatizo leo?

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,701
Reaction score
2,613
Connection iko ovyo kinoma leo, nikiweka hotspot ndo inakuwa useless kabisa. Wenzangu mnaonaje?
 
Tokea jana inasumbua. No connection. ..
 
THIS IS FREE WORLD BADILI LAINI... mi utumwa sitaki kabisa wakati ninatoa hela yangu. Wakiwa hovyo nahama.
 
Bado iko hovyoo ila ndio inatengemaa sijui. Yaani data ni miyayusho kwa mitandanao ya bongo..
Ukiwa na smartphone ipi ni rahisi na unapewa ma MB ya kutosha? Isiyosumbua kabisaaa
 
Nimesha change laini ila nayo Aitel majanga tu kwangu ipo mwendo pole sana.
 
Very tempting! Vitu vimechomoza kutoka kwa blauz! OMG
 
Dah,Kweli waungwana me ninasiku ya 5 wi-fi yangu inanigomea nikajua mbovu c nikaanza kuifungua, ckujua kama ni mtandao. mpakaleo inanigomea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…