Voda Internet

Voda Internet

Inategemea na mnara wa sehemu ulipo mkuu,kuna minara inakuwa na Internet speed ya GPRS pekee ambayo limit yake inakuwa 64kbps lakini kuna minara ambayo ina WDCMA na HSDPA ambazo limit yake ni kati ya 500kbps na 1mbps na hii ndo yapatikana hapa nilipo mimi,iko faster kiasi kwamba naweza kudownload movie ya 700mb ndaniya masaa matatu tu kwa hiyohiyo Internet bomba ya Bomba7 na Bomba30
OK... kwa hiyo ina maana hiyo package ya bomba7/30 haina limit ya speed bali inategemea kama unapata coverage ya Egde or HSDPA si ndio? kama itakuwa ndio hivi kama mnavyo sema basi voda ndio ISP ambaye ana bei nzuri zaidi ya mitandao mingine... mimi kwa jinsi nilivyo kuwa nafahamu ni kwamba ukijiunga na package hizi za unlimited za voda wanakulimit speed ambako unapewa 64Kbps.
 
voda ni bunch of loons!!najiunga na bomba7 bt hela haikatwi wla nn,hamna confirmation msg,et cstmr cr wanasema zma cm then uwashe!bt nthng!huo ni mtandao ss!
Haya ndio mambo ya nayo katisha tamaa na inafanya mtabdao wao uonekane wa kibabaishaji .
 
Kweli Vodacom ni mtandao wa kijanja. Maana kwa taarifa yako hiyo 500MB ni sawa na shs 20,000/ wakati Bundle la 400MB kwa Airtel ni shs 2500/ tuu. Viwango vya Vodacom ni juu sana.

Mmmmh! Kweli mafisadi ni wanjanja!
 
kiukweli kabisa, internet ya airtel ndiyo iko reasonable - kwa kasi, bei na coverage. nilikuwa nafanya a lot of web streaming, nimetest services za kampuni za zantel, vodacom na airtel, katika zote, airtel peke yake ndiyo haina kwikwi, zilizobaki ni kwa ajili ya normal surfing tu.

airtel, kwa shilingi 2500 unapata 400Mb, (hakuna aliye nafuu zaidi ya hapa).

niliikuwa naishi hukooo madongo kuinama, lakini 3G ya Airtel ilikuwa inafika, zilizobaki ni maeneo karibu ya mjini tu.

tototundu hii ya shilingi 2500 unapata 400Mb unaweka kama bando au direct
 
kwa hiyo jamaa hembu fanyeni itimisho la uhakika moderm zenye speed kubwa pamoja na reasonable price ni za mtandao gani?
 
Nawashukuru sana wadau nimeelewa sana, na sasa nitchagua option ya kutumia niendelee kutumia internet na hasa niko addicted sana JF, siwezi kaa saa moja bila kufungua JF. Nakuwa wa awali kupata information na current affairs. asante kwa yote mema.
 
kiukweli kabisa, internet ya airtel ndiyo iko reasonable - kwa kasi, bei na coverage. nilikuwa nafanya a lot of web streaming, nimetest services za kampuni za zantel, vodacom na airtel, katika zote, airtel peke yake ndiyo haina kwikwi, zilizobaki ni kwa ajili ya normal surfing tu.

airtel, kwa shilingi 2500 unapata 400Mb, (hakuna aliye nafuu zaidi ya hapa).

niliikuwa naishi hukooo madongo kuinama, lakini 3G ya Airtel ilikuwa inafika, zilizobaki ni maeneo karibu ya mjini tu.

waungwana ukitaka kupata 400mb kwa sh 2500 unafanyaje?
 
kiukweli kabisa, internet ya airtel ndiyo iko reasonable - kwa kasi, bei na coverage. Nilikuwa nafanya a lot of web streaming, nimetest services za kampuni za zantel, vodacom na airtel, katika zote, airtel peke yake ndiyo haina kwikwi, zilizobaki ni kwa ajili ya normal surfing tu.

Airtel, kwa shilingi 2500 unapata 400mb, (hakuna aliye nafuu zaidi ya hapa).

Niliikuwa naishi hukooo madongo kuinama, lakini 3g ya airtel ilikuwa inafika, zilizobaki ni maeneo karibu ya mjini tu.

hapo kwenye red kaka ni uongo.

Mimi nimeanza kutumia hiyo ya airtel ya 2500 kwa zaidi ya miezi 6 sasa.

Now nimenunua kifurushi cha voda cha 3o bomba kwa sh. Elfu 30. Na mpaka sasa nimekwisha download zaidi ya gb 40. Sasa jiulize kwa hizo megabytes 400, mpaka kufikia gb 40 utakuwa umetumia shilingi ngapi.
 
kiukweli kabisa, internet ya airtel ndiyo iko reasonable - kwa kasi, bei na coverage. nilikuwa nafanya a lot of web streaming, nimetest services za kampuni za zantel, vodacom na airtel, katika zote, airtel peke yake ndiyo haina kwikwi, zilizobaki ni kwa ajili ya normal surfing tu.

airtel, kwa shilingi 2500 unapata 400Mb, (hakuna aliye nafuu zaidi ya hapa).

niliikuwa naishi hukooo madongo kuinama, lakini 3G ya Airtel ilikuwa inafika, zilizobaki ni maeneo karibu ya mjini tu.

Mkuu kwenye red; unajiunga vp hiyo?
 
hapo kwenye red kaka ni uongo.

Mimi nimeanza kutumia hiyo ya airtel ya 2500 kwa zaidi ya miezi 6 sasa.

Now nimenunua kifurushi cha voda cha 3o bomba kwa sh. Elfu 30. Na mpaka sasa nimekwisha download zaidi ya gb 40. Sasa jiulize kwa hizo megabytes 400, mpaka kufikia gb 40 utakuwa umetumia shilingi ngapi.

Mkuu, subjectively, "hakuna aliye nafuuu zaidi ya hapo", maana yake hakuna kampuni nyingine yenye bundle kubwa (400MB, mwezi mzima) na speed kwa bei nafuu zaidi (Tshs 2500) kama Airtel. Bomba 7 (wiki 1) nafikiri ni shilingi 10,000, na Bomba 30 (mwezi 1) ni 30,000, linganisha price ya bundle na validity na coverage (voda 3g iko mjini zaidi) , bila kusahau speed, hapo utaelewa.
 
Airtel ni noma ndio maana modem zake ni issue kuzipata.
 
Nilikua natumia Zantel ila ss nitaijaribu ya airtel maana bei na speed ni vigezo muhimu sana
 
Back
Top Bottom