Voda huu mchezo wenu acheni tafadhali

Voda huu mchezo wenu acheni tafadhali

Nilitaka niwe mshindi wa siku mkuu, nichukue M lakini sikuambulia kitu, mpk nikasema basi wanaoshinda watakuwa wanacheza mpk laki tano ndo wanashinda au jamaa wanapiga mkwanja tu kwa msg zao
kweli uliamua kujilipua mkuu.
 
Hivi hii ni kweli eti Unakuta mtu amecheza huu mchezo wa bahati nasibu wa kujibu maswali kajibu swali vizuri afu jamaa wanamwambia kakosa na hela kakatwa hivi huu mchezo ni kweli upo? kama ni kweli hii kampuni ya simu kwa nn inafanya hiv? kama ni uwongo kwa nn kampuni ikae kimya tu?
13754080_1199381863437238_8796995166293245533_n.jpg

HAWA JAMAA DAH WATUMBULIWE MWENYEWE WANANIUDHI SANA
 
Kuna dada mmoja tunakaa nae kitaa ni mlokole anafanya kazi vodacom customer care, aliniambia yani voda ni wezi na waongo balaa, yani anafanya kazi basi tu coz hana na anatafuta kwingine, yani yote yanayofanyika wanayaona na wanajua jinsi ya kuwadanganya na kuwazuga, anasema anaona kabisa anavyofanya dhambi ya kuwazuga wateja wakati wanaibiwa sana
 
Hili sisuala la kutupigia makelele maana kinachowaponzeni ni tamaa tu bac, mimi hawa jamaa mara nyingi wakinitumia sms zao nikiona ni ya mtandao huwaga nazipotezea tu.
 
Kuna dada mmoja tunakaa nae kitaa ni mlokole anafanya kazi vodacom customer care, aliniambia yani voda ni wezi na waongo balaa, yani anafanya kazi basi tu coz hana na anatafuta kwingine, yani yote yanayofanyika wanayaona na wanajua jinsi ya kuwadanganya na kuwazuga, anasema anaona kabisa anavyofanya dhambi ya kuwazuga wateja wakati wanaibiwa sana

kama mlokole kweli mwambie aache kufanya kazi na hao jamaa
 
nasikia ata mshindi anatengenezwa kuwa mshind af baadae wanamzunguka anarudisha kiasi chote maboya mnabaki mnapigw
 
Back
Top Bottom