Mkwere Sumbawanga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 757
- 672
Ha ha ha DAR ES SALAAM IMEKUA TENA NI NCHI INAYOKUA KWA KASI????? kweli vodacom ni vi.laza watupu....
Pole baba we ulikua unadhan hio mihela yenye digit nyingi ivo utashinda, ushaliwa na umepata somo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu ni utapeli sasa.
halafu sipendi wanavyonitumia hizo sms zao. sitaki kucheza hizo bahati nasibu zao lakini hawakomi nitumia. AROOO VODA NAJUA MMO HUMU MNANISIKIA, ACHENI MARA MOJA MURA.
Wewe nae una hela za mchezo.Nilicheza nusu nimalize laki yangu, daaah sitarudia tena
Hata voda bado waongo Hans Meyer alifika kilele cha Kilimanjaro mwaka 1889. Sio 1989..Hivi hii ni kweli eti Unakuta mtu amecheza huu mchezo wa bahati nasibu wa kujibu maswali kajibu swali vizuri afu jamaa wanamwambia kakosa na hela kakatwa hivi huu mchezo ni kweli upo? kama ni kweli hii kampuni ya simu kwa nn inafanya hiv? kama ni uwongo kwa nn kampuni ikae kimya tu?
Nilicheza nusu nimalize laki yangu, daaah sitarudia tena
Hata voda bado waongo Hans Meyer alifika kilele cha Kilimanjaro mwaka 1889. Sio 1989..
Nilicheza nusu nimalize laki yangu, daaah sitarudia tena
Aisee mpe pole sana.. Mwambie hio ni mimba bila ky..mm sijacheza nimekuta kwa mtu hiyo mkuu
Nilitaka niwe mshindi wa siku mkuu, nichukue M lakini sikuambulia kitu, mpk nikasema basi wanaoshinda watakuwa wanacheza mpk laki tano ndo wanashinda au jamaa wanapiga mkwanja tu kwa msg zaoWewe nae una hela za mchezo.
Laki?
Nilitaka niwe mshindi wa siku mkuu, nichukue M lakini sikuambulia kitu, mpk nikasema basi wanaoshinda watakuwa wanacheza mpk laki tano ndo wanashinda au jamaa wanapiga mkwanja tu kwa msg zao
Nikaona bora niendelee kubet tu, hii michezo ya namna hii HAPANAdah mkuu ulijilipua sana aise