Voda huu mchezo wenu acheni tafadhali

Voda huu mchezo wenu acheni tafadhali

Mkwere Sumbawanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
744
Reaction score
660
Hivi hii ni kweli eti Unakuta mtu amecheza huu mchezo wa bahati nasibu wa kujibu maswali kajibu swali vizuri afu jamaa wanamwambia kakosa na hela kakatwa hivi huu mchezo ni kweli upo? kama ni kweli hii kampuni ya simu kwa nn inafanya hiv? kama ni uwongo kwa nn kampuni ikae kimya tu?
13754080_1199381863437238_8796995166293245533_n.jpg
 
Ha ha ha DAR ES SALAAM IMEKUA TENA NI NCHI INAYOKUA KWA KASI????? kweli vodacom ni vi.laza watupu....
Pole baba we ulikua unadhan hio mihela yenye digit nyingi ivo utashinda, ushaliwa na umepata somo
 
Ulikubaliana nao ndio maana walikukata pesa zako, acha lolongo wewe!
 
Ha ha ha DAR ES SALAAM IMEKUA TENA NI NCHI INAYOKUA KWA KASI????? kweli vodacom ni vi.laza watupu....
Pole baba we ulikua unadhan hio mihela yenye digit nyingi ivo utashinda, ushaliwa na umepata somo

mm sijacheza nimekuta kwa mtu hiyo mkuu
 
halafu sipendi wanavyonitumia hizo sms zao. sitaki kucheza hizo bahati nasibu zao lakini hawakomi nitumia. AROOO VODA NAJUA MMO HUMU MNANISIKIA, ACHENI MARA MOJA MURA.
 
sijajua ni mtu aliyeset majibu ya maswali hajui vizur majibu sahihi nashindwa kuelewa ina maana hata kabla bahati nasibu haijaanzishwa hamna kupitia maswali na majibu yake wanachekesha sana hawa jamaa
 
Hivi hii ni kweli eti Unakuta mtu amecheza huu mchezo wa bahati nasibu wa kujibu maswali kajibu swali vizuri afu jamaa wanamwambia kakosa na hela kakatwa hivi huu mchezo ni kweli upo? kama ni kweli hii kampuni ya simu kwa nn inafanya hiv? kama ni uwongo kwa nn kampuni ikae kimya tu?
13754080_1199381863437238_8796995166293245533_n.jpg
Hata voda bado waongo Hans Meyer alifika kilele cha Kilimanjaro mwaka 1889. Sio 1989..
 
Wewe nae una hela za mchezo.
Laki?
Nilitaka niwe mshindi wa siku mkuu, nichukue M lakini sikuambulia kitu, mpk nikasema basi wanaoshinda watakuwa wanacheza mpk laki tano ndo wanashinda au jamaa wanapiga mkwanja tu kwa msg zao
 
Back
Top Bottom