kale ka free internet mlikonipa kwa siku saba kamenipa mambo mengi makubwa nshashusha gb zisizopungua 15 kweli kazi ilikuwa ni kwangu................ swali ni je nikinunua kwa pesa yangu speed itakuwa ndo ileili au magumash ndo yataanza mana 15000 paref usawa huu
umetumia teknik gani kupata hiyo free kaka?
ni offer tu hata mi nimepewa sio teknik. Ili wakupe inabidi uwe mteja wa mfululizo. Mfano mi naunga kifurush cha 250 kila siku per kama mwez wakanipa hio offer.
Wanasema 2gb but ni unlimited full speed
Mie kila siku najiunga na kifurushi cha 500 and hua sipigi simu zaidi ya dk 10 kwa siku cha ajabu wananipaga mi offer ya kupiga simu offer Internet nazisikiaga kwa watu tu.
hii haikuwa offer..wezi tu.usipojitoa wanakuunganisha bila kutakaMimi nilipata offer ya kupiga cm unlimited kwa namba moja kwa sh 50 na 75. But now wamenipa offer ya sh 132 kupiga cm unlimited kwa namba moja
hv ulkuwa unaruhusiwa kudownload au n surfing /brousing2