Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Hili Tatzo Limejitokeza Kwa Mabinti Wengi, Na Wengi Wao Wanafundishana Kabsa Kuwa Mwanaume Ndio Wa Kupiga Cm Na C Mwanamke.
Huo Ni Ujinga Na Wala C Upendo, Na Ukiona Namna Hiyo, Ujue Huyo Binti Hafai Kuwa Mke. Pmj Na Kuwa Vocha Unampa Sana, Lkn Utakuta Anawapigia Wengne Na Ikiisha Anaomba Tena.
Kwanza Mwanamke Kuanza Kupiga Cm,au Hata Kumtumia Vocha Mwanaume Kunajenga Sn Uhusiano.
Vijana Tunahtj Neema Ya Mungu Wkt Wa Kuchagua Mke.