Vocha nacte inauzwa 35000

Vocha nacte inauzwa 35000

MAKUNENGO

Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
69
Reaction score
6
Habari ya sasa ... nilikosea kununua vocha kwa ajilj ya kufanyia udahili wa chuo, baada ya kununua vocha ya TCU nikanunua ya NACTE ambayo sitaweza kuitumia. naiuza kwa gharana nafuu 35,000mwenye kuitaji anipigie 0718681277 .
 
Pole mkuu yalinikuta hayo jaribu kwenda kwenye Internet Cafe unaweza fanikiwa ongea na wahufumu
 
Back
Top Bottom