VOA On Tanzania election--Straight Talk Africa

Kun Jr

JF-Expert Member
May 29, 2013
700
360
Nimewasikiliza kwa makini kuwa wanashangaa sana kuhusu kuhusu kuhalalisha matokeo kutoka zanzibar kutumika na NEC
pili wameongelea kuhusu ushahidi wa makabrasha kuwa hata wakiingia mezani kujumlisha atashinda nimewapenda sana

N.B nimejaribu kufafanua kwa swahili watz wote waelewe coz wengi watakuja na criticism

====UPDATES===
wamemsikilizisha EMANUEL KAWISHE wa NEC alichoongea lowassa kwenye press conference naona anajikanyaga eti anakitetea CCM kua si watu wa chadema tu walioumizwa na polisi tu hata wa ccm walipigwa sana uko iringa

MTANGAZAJI WA VOA AMEMUULIZA :it seems in tanzania multpaty system is on paper but in real sense it is single party system as situation goes on.........

duh awa watu wanatuvua nguo kabisa wanaijua katiba yetu kuliko sisi

President Lowassa Ocampo four Bavaria
commited
 
Last edited by a moderator:
Mleta uzi nami nimeangalia VOA, shaka na waalikwa wake na pia akiongea na Kawishe, ningekishauri uwe OBJECTIVE ktk bandiko lako.
 
Star TV wanasema data alizokuwa nazo seif ni sawa na kule vituoni na hivyo ni halali-mwingine kasema angeweza kuhesabu kura 500000 kwa siku moja na kutoa matokea kasema election was shumble-africa has a lesson to learn-nadhani tunaibika sana kimataifa
 
Haaa jamaa wanadondosha nondo za ukweli, hata ccm ikipita ishu ya time liangaliwe upya lazima time iwe huru
 
Shukurani VOA...Voice of Amerika ambao mko live sasahivi kwa kueleza ukweli wa MADUDU ya CCM....Sasa dunia nzima inajua kuwa Nec...Zec....Ccm kitu kimoja wanadhulumu Demoracy ya wananchi wengi wa Tanzania...
Thankx to Shamsi abdalla of ZANZIBAR DIASPORA ASSOCIATION....And proffessor Erick Ed of Ivory Coast to inform the World that Tanzania election was not fair....DUNIA INAJUA SASA AIBU KWA CCM...NA UJINGA WAO....
 
Nimewasikiliza kwa makini kuwa wanashangaa sana kuhusu kuhusu kuhalalisha matokeo kutoka zanzibar kutumika na NEC
pili wameongelea kuhusu ushahidi wa makabrasha kuwa hata wakiingia mezani kujumlisha atashinda nimewapenda sana

N.B nimejaribu kufafanua kwa swahili watz wote waelewe coz wengi watakuja na criticism

====UPDATES===
wamemsikilizisha EMANUEL KAWISHE wa NEC alichoongea lowassa kwenye press conference naona anajikanyaga eti anakitetea CCM kua si watu wa chadema tu walioumizwa na polisi tu hata wa ccm uko iringa

MTANGAZAJI WA VOA AMEMUULIZA :it seems in tanzania multpaty system is on paper but in real sense it is single party system as situation goes on.........

duh awa watu wanatuvua nguo kabisa wanaijua katiba yetu kuliko sisi

President Lowassa Ocampo four Bavaria
Hatuchagui rais wa VOA, wakome kufuatilia mambo yetu
 
Mimi nimeangalia sasahivi kipindi kimeisha...shukurani kwa SHAMSI ABDALA wa Zanzibar diaspora association na Proffesa Erick Edd wa election commetee of Ivory coast... Kwa kuieleza ukweli Dunia juu ya MADUDU YA CCM.....AIBU KWENU NA WIZI WENU WA KURA??.na kuharibu democracy ya kweli...Dunia inajua sasa....
 
Hii ni aibu kwa taifa zima. Hata tukienda nje hatuna tofauti na wasomali kusema kweli.

Kina Kagame na Nkulunzinza watakuwa wanatucheka tunavojipambanuaga mbele yao kama wana demokrasia.
 
Star TV wanasema data alizokuwa nazo seif ni sawa na kule vituoni na hivyo ni halali-mwingine kasema angeweza kuhesabu kura 500000 kwa siku moja na kutoa matokea kasema election was shumble-africa has a lesson to learn-nadhani tunaibika sana kimataifa

Jamani waafrika sio kama hawajui. Kwa hiyo kusema eti Africa has a lesson to learn sio sahihi. Viongozi wanajua vyote ila wanafanya makusudi kwani hawataki kuachia madaraka. Ukimpa mwafrika madaraka kumwondoa ni tabu sana. Huwa hakubali hata kama kuleta maendeleo hawezi. Hii issue ilitakiwa nchi kubwa kama USA zitumie force ili haki itendeke.
 
Wakuu chonde chonde mtupe habari kamili, wengine tv na radio vipo mbali na maeneo yetu,tuambieni ninj kimejiri hasa huko VOA.
 
Hii nchi nimeshaona ni ya jk na mzee kipara bonge nyanya sasa sisi tutaingia msituni kupinga maamuzi ya watu wawili tu katika nchi hii
 
Nimesikiliza ingawa nimekuta katikati ya mjadala. Kama ccm inaweza kuwafanya watu wa Kimanzichana, Namanyere nk kuwa wajinga kutokana na kuwanyima elimu wasidhani hata Jumuia za kimataifa nazo watazifanya hamnazo.
Hii ni aibu sana, nimekumbuka hata kejeli za Kagame kuwa tunajifanya tunajua sana demokrasia sasa imefika wakati wa kuionyesha kwa vitendo. Tumeshindwa.
Nchi hii imejaa matapeli wa kisiasa na manyang'au wa demokrasia.
 
Nimewasikiliza kwa makini kuwa wanashangaa sana kuhusu kuhusu kuhalalisha matokeo kutoka zanzibar kutumika na NEC
pili wameongelea kuhusu ushahidi wa makabrasha kuwa hata wakiingia mezani kujumlisha atashinda nimewapenda sana

N.B nimejaribu kufafanua kwa swahili watz wote waelewe coz wengi watakuja na criticism

====UPDATES===
wamemsikilizisha EMANUEL KAWISHE wa NEC alichoongea lowassa kwenye press conference naona anajikanyaga eti anakitetea CCM kua si watu wa chadema tu walioumizwa na polisi tu hata wa ccm uko iringa

MTANGAZAJI WA VOA AMEMUULIZA :it seems in tanzania multpaty system is on paper but in real sense it is single party system as situation goes on.........

duh awa watu wanatuvua nguo kabisa wanaijua katiba yetu kuliko sisi

President Lowassa Ocampo four Bavaria

Democracy is not for the fools.

CCM stays in power because of some fools chose them.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom